Juzi alikuwa anatetemeka akisoma hotuba ya uongo mtupuKesi imevua ushungi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Juzi alikuwa anatetemeka akisoma hotuba ya uongo mtupuKesi imevua ushungi
"Wenye haki ni jasiri kama Simba" ? Mbona Simba wamewekwa kimoja?Komandoo Adamoo kanyoonsha maelezo kama rula! Imagine mtu kaletwa kutoka mahabusu alimowekwa zaidi ya mwaka hana hili wala lile ghafla mahakamani Serikali inaondoa mashahidi wake waliosalia; ghafla mtuhumiwa anaieleza mahakama kwamba atajitetea mwenyewe tena wakati huo huo bila kutarajia wala maandalizi yoyote. On the spot anapanda kizimbani na kuanza kutiririka ushahidi wa tukio zima!
Imepata kuandikwa; waovu hukimbia wasipofuatwa na mtu ila wenye haki ni jasiri kama simba! Ndicho kilichotokea jana kwenye ushahidi wa Komandoo Adamoo na pengine kwa watuhumiwa wengine waliosalia mbele ya safari. Ukweli hauna maelezo ya ziada tofauti na uongo konakona nyingi.
Na kimalkia kilichangia, kilikuwa kinaufanya ushungi kuwa mzutoJuzi alikuwa anatetemeka akisoma hotuba ya uongo mtupu
... imenenwa; Mdomo wa kweli utathibitishwa milele; Bali ulimi wa uongo ni wa kitambo tu.Hakika uongo haujawahi shinda
Kuna maneno ya busara kwenye uzi huuKwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi mlifikiri mkimtuhumu na kumfunga Mbowe ni kuiokoa CCM na serikali dhidi ya harakati zake Mbowe za kudai katiba mpya na kuua upinzani ? Au mliwaza kitu gani? Hamkua mkijipanga?
Mpaka sasa hata raia Mjinga akiasi gani anaelewa kabisa hukumu ya kesi hii hata ikiwa kinyume cha matarajio ya wengi, yaani kesi inayoitwa kua ni ya Ugaidi utafikiri ni kesi ya kawaida ya unyang'anyi. Na niwaambie siyo kwamba kesi ya Mbowe na wenzake 3 inatetewa na mawakili Mahiri sana au laah, au mawakili wa serikali ni Vilaza, big NO! Kesi hii haileweki iko miguu chini au juu yaani mpaka hata washtakiwa wana confidence na ndio maana mnaona Shahidi wa jana yule Komandoo Adamoo alijibu kwa kujiamini sana.
Kiukweli kabisa mlitakiwa kupima, Kwanza Mbowe chama chake ni kikubwa na cha pili kwa wingi wa wanachama Tz ambao ni milion 6.5 nyuma ya CCM yenye wanachama milion 8. Kiongozi wa Chama kikubwa huwezi kumshtaki kirahisi rahisi hivyo kwa jambo usilokua na uhakika nao,Chukueni mfano wa Raila Odinga wa Kenya alivyosumbuliwa na MOI na haikusaidia kitu , na isitoshe Mbowe alikua Kiongozi mkuu wa kambi rasmi ya upinzani na hana record yeyote ya uhalifu.
DPP na Polisi nilitakiwa mpime kwanza kua Mbowe alikamatwa akiandaa Kongamano la kudai katiba mpya, neno "Katiba" liko kwenye vichwa vya watu wengi wanaojitambua, liko kwenye vichwa vya wanaharakati wote na pia lipo kwenye mataifa yenye taasisi kubwa za haki za binadamu. Msigetegee hili suala likakosa attention ya ndani na nje ya nchi. Kwakweli kama mlitagemea kulinda maslahi taifa kwa jambo hili mmeingia katika mkwamo kweli kweli hata mkililazimisha.
Etii, yaani kesi inakua na attention kubwa ya watanzania na walioko ndani na nje ya nchi kuliko hata safari ya Mama huko nje na hotuba yake? Kuna kitu hakipo sawa lazima tukubaliane hapa. Tukiendekeza siasa hizi siasa mbovu hivi nawaambieni CCM haina hata miaka 10 mbeleni na huenda hiyo ikawa mingi sana,na mtayakumbuka maneno haya.
USHAURI WANGU KWENU;
Lipeni hadhi taifa hili, futeni kesi hii mpaka hapa ilikofikia kwa ushahidi uliotolewa tayari ni kama imeisha. Ukiangalia hata mashahidi wa upande wa mashtaka kwa sasa hawana jipya zaidi ya kujikanganya tu na huenda wakaharibu zaidi mbeleni wakaendelea kuwakwaza Watanzania. Toeni onyo kiaina kama kuzuga tu lakini mtakuwa mmeshamaliza mchezo hamjachelewa.
Hiyo ni kanuni ,,bila haki hatuwezi vuka vizur.Haki huinua Taifa
Kama ile ya kuchapwa risasi TL na hatimae suspect nambari uno kwa lile jaribio kutoweshwa kwenye uso wa dunia.Hii kesi kama vile ilipangwa na Mungu.
Bado.Mbona kesi isha kwisha.
Yesss now you are talking.Kama ile ya kuchapwa risasi TL na hatimae suspect nambari uno kwa lile jaribio kutoweshwa kwenye uso wa dunia.
😅😅😅😅na tunaifatilia bega kwa bega, neno kwa nenoKesi hii ndiyo imewafanya wananchi wengi waone na watambue kuwa kumbe polisi wanafanya kazi kama genge la majambazi, ni jeshi la kudulumu haki za watu, kuwabambikia watu kesi, kuwatesa watu wasio na hatia kwa mateso ya ajabu, n.k.
Nilizungumza jana na kamanda mmoja wa JW, akasema jeshi limekwazwa sana na kitendo cha wanajeshi kuteswa na kudhalilishwa na polisi. Kwa maneno yake akasema, tuna polisi takataka. Akasema, hili halitaisha hivi hivi, hata kama siyo kwa uwazi, tutaongea na vijana wetu. Wahuni hawawezi kulidhalilisha jeshi. Huko nyuma waliwahi kuwafanyia vitendo vya ajabu vijana wetu, tuliwadhibiti hasa, kuna wengine tuliwahi kuwatandika hata fimbo, lakini haikufikia kiwango hiki cha sasa. Uharamia huu lazima upate jibu, ili watambue kuwa jeshi siyo sawasawa na polisi.
Aliiambia dunia kwamba wana ushahidi kama "gunia mbili"!Jamaa muongo hadi keshokutwa!😝😝😝😝😝Inatakiwa na SIRRO aje atoe ushahidi.
Nikupongeze kwa hoja nzuri na ya msingi ila all in all mpaka kesi inaisha mashahidi wa JAMHURI wamejaza choo cha mahakama kibatara ajengewe sanamu hapohapo mahakamaniKwakweli toka moyo wangu na kwa haki ya Mungu, Polisi hii kesi imewaumbua vibaya sana mpaka hata polisi wengine walioko nje wanashangaa sana. Mashahidi upande wenu wamejichanganya kwa kila kitu, wametofautiana mpaka kuna mahali hata raia wa kawaida anajua kuna mambo ni ya uongo wa wazi.Hivi mlifikiri mkimtuhumu na kumfunga Mbowe ni kuiokoa CCM na serikali dhidi ya harakati zake Mbowe za kudai katiba mpya na kuua upinzani ? Au mliwaza kitu gani? Hamkua mkijipanga?