DPP, IGP na polisi kwa ujumla mmelitengenezea sifa mbaya taifa kwa kesi ya Mbowe

"Wenye haki ni jasiri kama Simba" ? Mbona Simba wamewekwa kimoja?
 
Kuna maneno ya busara kwenye uzi huu
 
TZ imeshapitia mengi sana wewe jamaa, na makubwa mnoo! Huyo Mbowe na chama chake ni kama sisimizi tukulinganisha na mangapi nchi hii imepitia, Sheria itachukua mkondo wake
 
Kesi hii ndiyo imewafanya wananchi wengi waone na watambue kuwa kumbe polisi wanafanya kazi kama genge la majambazi, ni jeshi la kudulumu haki za watu, kuwabambikia watu kesi, kuwatesa watu wasio na hatia kwa mateso ya ajabu, n.k.

Nilizungumza jana na kamanda mmoja wa JW, akasema jeshi limekwazwa sana na kitendo cha wanajeshi kuteswa na kudhalilishwa na polisi. Kwa maneno yake akasema, tuna polisi takataka. Akasema, hili halitaisha hivi hivi, hata kama siyo kwa uwazi, tutaongea na vijana wetu. Wahuni hawawezi kulidhalilisha jeshi. Huko nyuma waliwahi kuwafanyia vitendo vya ajabu vijana wetu, tuliwadhibiti hasa, kuna wengine tuliwahi kuwatandika hata fimbo, lakini haikufikia kiwango hiki cha sasa. Uharamia huu lazima upate jibu, ili watambue kuwa jeshi siyo sawasawa na polisi.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…na tunaifatilia bega kwa bega, neno kwa neno
 
Nikupongeze kwa hoja nzuri na ya msingi ila all in all mpaka kesi inaisha mashahidi wa JAMHURI wamejaza choo cha mahakama kibatara ajengewe sanamu hapohapo mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…