DPP kuteuliwa kuwa Jaji ni promotion? Niliiona kwa Feleshi na sasa kwa Biswalo

DPP kuteuliwa kuwa Jaji ni promotion? Niliiona kwa Feleshi na sasa kwa Biswalo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nauliza tu kwa wajuzi wa protokali huko wizara ya Katiba na Sheria.

Kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania hadi kuwa Jaji wa mahakama kuu kanda fulani, ni kupanda cheo au kubadili tu nafasi?

Ramadhan Kareem!
 
Yale yale ya kuwa na KATIBA viraka,kuwa Judge ni LAZIMA uombe na ufanyiwe usaili,tuendelee kusubiri meli yetu iliyobeba Noah pale mt.kilimanjaro
 
Back
Top Bottom