Alipokuwa DPP budget yote ya ofisi ilikuwa chini yake, alikuwa anaongea na Rais moja kwa moja maana mshtaka yote ya jinai nchini yapo chini yake, in short hata deals zote zipo kwake.
Huko kwenye ujaji ataishia kusikiliza kesi na kulipwa mshahara wa milioni sita akipigwa na makato anabaki wa kawaida tu halafu Hana command popote zaidi ya kusubiri kupangiwa kesi za kusikiliza.
Ila heri ametolewa pale, nadhani ndiye DPP aliyewahi kuchukiwa sana hapa nchini sababu ya kiherehere chake.
Ana bahati kile cheo kinalindwa na Sheria kama CAG so huwezi kumfukuza labda abadilishwe kazi au astaafu otherwise angekula buyu.