Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,596
- 2,079
2028?Kati ya 1972 - 1976 tukirejea kumbukumbu, Chief Justice (rtd) Barnabas Samatta, aliwahi kuwa DPP na baada ya hapo kuteuliwa kuwa jaji wa mahakama kuu, baadae jaji Kiongozi kama alivyo Jaji Feleshi ambae ane alikuwa DPP kabla ya kuteuliwa na Rais Kikwete kuwa jaji wa Mahakama Kuu 2014, ambae 2028 aliteuliwa kuwa jaji kiongozi.
Bila shaka huenda kuna ma-DPP wengine pia wamewahi kuteuliwa kuwa majaji