johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Well saidNi promotion kwanin"Alitakiwa afukuzwe kazi"
Ametoka,ila "ofisi ya DPP inatakiwa ifumuliwe na ipangwe upya" kuna madudu na vituko mle ndaniafadhali katoka
Mama badala ya kufukuza waliofanya maovu enzi za Kayafa anawapandisha vyeo.She is cursed one term president!
Duh!Akiwatoa mtasema anawaonea wakristo,hawakosi la kusema
Mbona husemi bado Mbowe?bado sabaya
Hahahaaaa...... Mbowe ni mteule wa nani bwashee?
Kivipi bwashee?Unaweza kuona ni promotion ila ni bonge la demotion