Ni njia ya kumwondoa taratibu taratibuNauliza tu kwa wajuzi wa protokali huko wizara ya katiba na sheria.
Kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania hadi kuwa Jaji wa mahakama kuu kanda fulani, ni kupanda cheo au kubadili tu nafasi?
Ramadhan kareem!
SKM gang bwana 😄😄Tanzania kwa sasa imekwama kabisa! Hakuna jipya la maana la kulitegemea...
Tuendelee kumwomba Mungu tu atusaidie kama alivyosaidia kwa njia za ajabu kutuondolea mwendazake!
Makada wa CCM wanaomba Sabaya awe mkuu wa mkoa wa Dar.bado sabaya
Aje tu!Makada wa CCM wanaomba Sabaya awe mkuu wa mkoa wa Dar.
Alikuwa amejigeuza kuwa wakala wa TRA ,kipitia mwendazake.Ametoka,ila "ofisi ya DPP inatakiwa ifumuliwe na ipangwe upya" kuna madudu na vituko mle ndani
Labda DPP mpya atakuwa Tundu Lisu!Alikuwa amejigeuza kuwa wakala wa TRA ,kipitia mwendazake.
Kiitifaki kapanda cheo....judge wa mahakama kuu kiprotocal ni superior kiposition kwa DPPNauliza tu kwa wajuzi wa protokali huko wizara ya katiba na sheria.
Kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania hadi kuwa Jaji wa mahakama kuu kanda fulani, ni kupanda cheo au kubadili tu nafasi?
Ramadhan kareem!
Ahsante bwashee!Kiitifaki kapanda cheo....judge wa mahakama kuu kiprotocal ni superior kiposition kwa DPP
Duwa za mashehe wa uwamsho zimejibiwa mmoja katangulia mbele ya haki na msaidizi wake katika dhulma kaondoshwa u dpp kidogo kidogo tutafikaBiswalo katolewa ?
ni promotion though cheo cha DPP ni sawa tu na cheo cha jaji. ila kwa jaji ni bora zaidi kwasababu mafao yake makubwa na atakula mshahada hata akistaafu ataendelea kupokea fweza. kwahiyo kwa lugha nyingine ni promotion.Nauliza tu kwa wajuzi wa protokali huko wizara ya katiba na sheria.
Kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania hadi kuwa Jaji wa mahakama kuu kanda fulani, ni kupanda cheo au kubadili tu nafasi?
Ramadhan kareem!
... halafu mseme hakuna miujiza! Miujiza ipo na huo ni mmojawapo.Tanzania kwa sasa imekwama kabisa! Hakuna jipya la maana la kulitegemea...
Tuendelee kumwomba Mungu tu atusaidie kama alivyosaidia kwa njia za ajabu kutuondolea mwendazake!
Alipokuwa DPP budget yote ya ofisi ilikuwa chini yake, alikuwa anaongea na Rais moja kwa moja maana mshtaka yote ya jinai nchini yapo chini yake, in short hata deals zote zipo kwake.Kivipi bwashee?
Ni promotion Ila ujaji hauna dili kama alipokuwa DPP maana hela yote alikuwa anasimamia yeye na madeal kibao ya nolle proasequi.ni promotion though cheo cha DPP ni sawa tu na cheo cha jaji. ila kwa jaji ni bora zaidi kwasababu mafao yake makubwa na atakula mshahada hata akistaafu ataendelea kupokea fweza. kwahiyo kwa lugha nyingine ni promotion.
Bora ulivyomjibuAlipokuwa DPP budget yote ya ofisi ilikuwa chini yake, alikuwa anaongea na Rais moja kwa moja maana mshtaka yote ya jinai nchini yapo chini yake, in short hata deals zote zipo kwake.
Huko kwenye ujaji ataishia kusikiliza kesi na kulipwa mshahara wa milioni sita akipigwa na makato anabaki wa kawaida tu halafu Hana command popote zaidi ya kusubiri kupangiwa kesi za kusikiliza.
Ila heri ametolewa pale, nadhani ndiye DPP aliyewahi kuchukiwa sana hapa nchini sababu ya kiherehere chake.
Ana bahati kile cheo kinalindwa na Sheria kama CAG so huwezi kumfukuza labda abadilishwe kazi au astaafu otherwise angekula buyu.
Hahahaaaa........!Bora ulivyomjibu
Unajitoaga sana ufahamuHahahaaaa........!
Yametimiabado sabaya
Tayaribado sabaya
Yametimiaaaabado sabaya
Kati ya 1972 - 1976 tukirejea kumbukumbu, Chief Justice (rtd) Barnabas Samatta, aliwahi kuwa DPP na baada ya hapo kuteuliwa kuwa jaji wa mahakama kuu, baadae jaji Kiongozi kama alivyo Jaji Feleshi ambae ane alikuwa DPP kabla ya kuteuliwa na Rais Kikwete kuwa jaji wa Mahakama Kuu 2014, ambae 2028 aliteuliwa kuwa jaji kiongozi.Nauliza tu kwa wajuzi wa protokali huko wizara ya Katiba na Sheria.
Kutoka kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania hadi kuwa Jaji wa mahakama kuu kanda fulani, ni kupanda cheo au kubadili tu nafasi?
Ramadhan Kareem!