juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,040
nilijua nitapingwa kumbe nitaunga mkono.asante shekhe wangu! hawa watu wanaotaka kutengeneza mazingira ya uadui kwa hoja za kutengeneza tuwakosoe.
mie nashangaa sana!ukristo,uyahudi na uislam ni dini zinazoonekana dhahiri kuwa na chanzo kimoja kihistoria (ibrahim)kutokana na kufanana sana mafundisho yake mengi.lakini wenye dini hizo wanavyotoana damu utasema hawa wametokea mars,wale jupita na wale wengine neptune...taabu tupu!kweli shetani mbaya!laiti ibrahim angefufuka leo hii kwa dk tano tu,asingezimaliza,angeangusha tena kwa HEART ATTACK!