DPP: Sheikh Ponda anahusika na Al-Shabaab!

DPP: Sheikh Ponda anahusika na Al-Shabaab!

Status
Not open for further replies.
Cheza na CCM , Shekh Ponda Kwisha habari yake atapelekwa kwenye vyombo husika akahukumiwe kama gaidi...
 
Ahmed Msangi, Suleiman Kova, Said Mwema, Jakaya Kikwete na Issa Ponda wote waislamu. It is not logical kwa mimi nichangie kitu hapa. Wooote nawatakia kila la heri...
 
Nchi yetu inapaswa kuwa na rekodi za kila mtu na shughuli zake katika database ili kufahamu nani mwema na nani si mwema!!
Umenena mkuu, ila kuwa na record na kujua pekee ndio unafikiri ndio suluhisho?? Sifikiri hivyo.... Wezi wa EPA, Richmond, Wafanyabiashara ya madawa ya kulevywa, wenye pesa zisizo halali nje ya nchi, Money Launders wote wanajulikana. Wengineo na makosa yao hatuwajui mimi na wewe ila kwenye database ya makaratasi ya TISS wanajulikana. Tatizo ni kuchukua hatua kama serikali. Ila tunaangalia maslahi ya "Waheshimiwa" na si maslahi ya wenye kujiheshimu (Wananchi)
 
Mimi siamini kama geita utatokea upuuzi tena kama ule waliofanya wakiristo wa kuwakejeli waislam ccm ikawa inachekelea
 
Allah yuko na waislam,wasiokuwa waislam, vilivyo hai na visivyokuwa hai. Cha msingi ni kuwa rational na kufuata utaratibu.

Hivi badala ya kufanya maandamano ambayo hatima yake inaweza kuwa ni pamoja na umwagikaji wa damu, kwanini sisi Waislam tusimlilie Allah apambane kwa niaba yetu? Au hatumwamini kama anaweza!
 
shehe ponda hawezi toka naomba muendelee na mambo mengine.na kuandamana msithubu2 mtashaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom