SINA JINA1
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 391
- 152
Cheza na CCM , Shekh Ponda Kwisha habari yake atapelekwa kwenye vyombo husika akahukumiwe kama gaidi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenena mkuu, ila kuwa na record na kujua pekee ndio unafikiri ndio suluhisho?? Sifikiri hivyo.... Wezi wa EPA, Richmond, Wafanyabiashara ya madawa ya kulevywa, wenye pesa zisizo halali nje ya nchi, Money Launders wote wanajulikana. Wengineo na makosa yao hatuwajui mimi na wewe ila kwenye database ya makaratasi ya TISS wanajulikana. Tatizo ni kuchukua hatua kama serikali. Ila tunaangalia maslahi ya "Waheshimiwa" na si maslahi ya wenye kujiheshimu (Wananchi)Nchi yetu inapaswa kuwa na rekodi za kila mtu na shughuli zake katika database ili kufahamu nani mwema na nani si mwema!!
Allah yuko na waislam,wasiokuwa waislam, vilivyo hai na visivyokuwa hai. Cha msingi ni kuwa rational na kufuata utaratibu.