DPP: Sheikh Ponda anahusika na Al-Shabaab!

Status
Not open for further replies.
nilijua nitapingwa kumbe nitaunga mkono.asante shekhe wangu! hawa watu wanaotaka kutengeneza mazingira ya uadui kwa hoja za kutengeneza tuwakosoe.

mie nashangaa sana!ukristo,uyahudi na uislam ni dini zinazoonekana dhahiri kuwa na chanzo kimoja kihistoria (ibrahim)kutokana na kufanana sana mafundisho yake mengi.lakini wenye dini hizo wanavyotoana damu utasema hawa wametokea mars,wale jupita na wale wengine neptune...taabu tupu!kweli shetani mbaya!laiti ibrahim angefufuka leo hii kwa dk tano tu,asingezimaliza,angeangusha tena kwa HEART ATTACK!
 
Huyu shehe si waliwahi ksema si raia wa Tanzania?
 


kiukweli naomba muwe na subira waislamu wenzangu maandamano hayasaidii tufuate utaratibu
 
Cheza ngoma, cheza mwana, lakini usicheze ngoma usiyoijua mpigaji wake. Ponda hana shughuli yeyote hapa duniani, lkn anakula na analea familia yake, unamjua mfadhili wake au unaandamana kwa kuwa tu dini yako inakuwa imetajwa?
 

Mkuu udini upi kama wenye mamlaka ya mwisho wote ni waislamu unataka maaskofu ndio wakamtoe huko aliko? Ona hii list hapa.
Kinachonifurahisha ni kwamba Waislamu wanapambana na waislamu wengine.. Jakaya,Mohamed,mohamed,Seif,Seif tena,mohamed,Said,Seleman na kaimu wake Ahmed....Wanataka kumtoa Issah!!!
Yaani hapo kuna
Rais
Rais
makamu
makamu
makamu
Jaji mkuu
mkuu wa polisi
mkuu wa polisi Dar
kaimu mkuu wa polisi Dar.
Anayelalamikiwa mfumo kristo ni mmoja tu....Eliezer Feleshi..Je wangekuwa wawili tena awe makamu tu wa rais si mngekuwa Nchi nzima mmewekwa ndani..Nyambaf
 
kumekucha sasa, tuombee inchi yetu amani jamani
 
baadhi ya waislam wa tanzania full vichekesho,badala ya kutafuta jinsi ya kutoka kimaisha wao wapo bize na ujingaujinga
ndio maana unaona biashara zote hapa tz ni za waislam,maana kwenye sekta ya umma au rasmi wanaitwa magaidi
 
Waislamu nao wamezidi.. Aaah!! wanakera,mara kuchinja, mara sheikh, mara nini... aah!
 
mufti si kiongozi wa waislam bali na msaidizi wa pengo.ndio mana kanisa linahusika kuishinikiza serikali kumdhibiti ponda.lkn mnajidanganya taifa likiingia ktk machafuko hakuna atakae salimika.mapadri na maaskofu mtakimbia kama ilivyokua burunxi na rwanda.ipo siku tutaheshimiana.ponda kiongozi wa waislam anaepigania haki na maslahi ya waislam.bakwata wameuzwa karibu mali zote za waislam halafu mnataka waislam waendelee kuwatazama eti wanasubira.subira imefika mwisho tupo tayari kwa lolote.
 
Ponda apatiwe dhamana, mbona 2010 maCCM yamemtumia sana, sasa hivi kawageuka wanaanza kutapatapa, ba mwanaisha tutakukumbuka sana
 
Mkuu ndio maana na mashaka sana na hizi dini,Mungu gani aliyeturuhusu kuuana na kuchinjana.Bora niwe RASTAFARIAN yaani peace and love.
 

1. Ukristo sio dini, ni IMANI. Labda uniambie hujui maana ya dini. Ili uwe Mkristo, unahitaji tu kuamini na kukiri ya kuwa Yesu (Kristo) kuwa ndiye Bwana na Mwokozi wa maisha yako.

2. Hakuna chanzo kimoja cha Kihistoria ktk imani moja na dini mbili ulizotaja. Asili ya Ukristo ni Yesu ambaye ndiye Kristo.

3. Suala la kutoana damu halitokani na imani na dini mbili bali kuna moja ya hizi dini ina shida. Kama unaamini kuwa watu wa hizi itikadi tatu tofauti hawakai pamoja, je unaelezeaje suala la moja kati ya hizi itikadi tatu kushindwa kukaa pamoja hata baina yao wenyewe?

Ukiona Waislam wameungana basi ujue ni kwa nia OVU tu ya kufanya maangamizi kwa watu wengine, lkn ikiwa hawana common enemy, basi hao huuana wenyewe; Shia na Sunni hawapikiki chungu kimoja Iran na Iraq. Hata hapa Tanzania Ahmadiyya Muslim Society haihesabiwi kama Waislam. Sas katika hali hii unashindwa tu kuona kuwa Waislam wana matatizo ya kiimani?
 
Hakuna MUNGU anaeamasisha vurugu ni shetani tu ndiyo kazi yake, Kama kweli wasilamu wanamwabudu mungu wa kweli wa tuonyeshe kwa utulivu na upendo.
 
Ponda apatiwe dhamana, mbona 2010 maCCM yamemtumia sana, sasa hivi kawageuka wanaanza kutapatapa, ba mwanaisha tutakukumbuka sana
Watamwachia tu! Ni janja ya ccm
 

nashukuru MUNGU watu wa aina yako wanapungua kadri siku zinavyokwenda.angalia maandamano ya kesho halafu ufananishe na yaliyopita.utanielewa.huwezi kumtia binadamu ujinga milele,kuna siku atastuka.huu wimbo wako waislam wanaanza kuuchoka taratiibu,wanaanza kuelewa umuhimu wa utanzania wao.endeleeni kuleta uhuni ili waislam wapate nafasi ya kupima matokeo ya kila mnalowaambia na kulifanya wapate kuwahukumu.na siku watakayoamua kuwahukumu mh!wote tutashuhudia
 
Polisi tumieni taaluma yenu kutawanya wahuni na wapendafujo na mauaji ambao wao sheria za nchi hawazitambui na kuifanya nchi isitawalike.
 
tunajua Marekani wameewafundisha ya kuwa Kila muislam ni GAIDI!!!hakuna marefu yasiyo na ncha!!ALLAH yupo na Waislam

Mkuu BONGOLALA,ungefanya la maana sana,kama ungechambua taarifa ya DPP na kutueleza wapi amedanganya.
Suala la waislamu kuanza kuhatarisha usalama wa taifa siku za karibuni hilo halina tena kificho,ona yaliyo tokea Zanzibar kuchomwa kwa makanisa,Dar es Salaam,na sasa Geita!!
Suala hapa ni inferiority Complex ndilo linawasumbua waislamu wengi,na hakuna jinsi ya kutoka hapo pasipo juhudi na maarifa.
Angalieni wakristo duniani kote wamefanyaje,nanyi muige!
Kulalama mnaonewa na kutaka kuligawa taifa kwa misingi ya udini hakuwasaidii bali kuwakandamiza zaidi!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…