SINA JINA1
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 391
- 152
Umenena mkuu, ila kuwa na record na kujua pekee ndio unafikiri ndio suluhisho?? Sifikiri hivyo.... Wezi wa EPA, Richmond, Wafanyabiashara ya madawa ya kulevywa, wenye pesa zisizo halali nje ya nchi, Money Launders wote wanajulikana. Wengineo na makosa yao hatuwajui mimi na wewe ila kwenye database ya makaratasi ya TISS wanajulikana. Tatizo ni kuchukua hatua kama serikali. Ila tunaangalia maslahi ya "Waheshimiwa" na si maslahi ya wenye kujiheshimu (Wananchi)Nchi yetu inapaswa kuwa na rekodi za kila mtu na shughuli zake katika database ili kufahamu nani mwema na nani si mwema!!
Allah yuko na waislam,wasiokuwa waislam, vilivyo hai na visivyokuwa hai. Cha msingi ni kuwa rational na kufuata utaratibu.