DPP: Zaidi ya watuhumiwa 300 wa Uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru

Safiiii, very good, zamani kabla ya serikali ya awamu ya tano hawa mafisadi, wahujumu uchumi walikuwa hawaguswi, walikuwa miungu watu, sasa sheria inafuata mkondo wake, sio maskini tu kama sisi ndio tulikuwa tunaonewa, sasa binadamu wote ni sawa mbele ya sheria, na walipe mabilioni waliyoibia nchi yetu. Safi JPM
 
Ok!
 
Nenda kasome kwanza upya plea bargain ni nini ndiyo uje kuchangia hapa. Huelewi kitu wewe Kifaurongo
Sheria imejadiliwa na kupitishwa Bungeni, nikasome nini tena? Kasome wewe unaoyumbishwa na watu walioipitisha sasa wanajifanya hawaijui vizuri.
 
Biswalo Mganga, Mungu wako amekufa, ngoja tuone ufedhuli wenu
 
Like zoezi lilikuwa ni dhuluma ya mchana tu. Angalia na ripoti ya CAG ya mwaka huu, halafu rudi usome uzi huu uone watu walivyotiririka
 
Sheria imejadiliwa na kupitishwa Bungeni, nikasome nini tena? Kasome wewe unaoyumbishwa na watu walioipitisha sasa wanajifanya hawaijui vizuri.
Ilikuwa sheria ya kipumbafu iliyopitishwa na bunge la kipumbafu kumfurahisha DIKTETA mpumbafu. Tushukuru Mungu ameingilia kati mwaka jana Machi 17!!
 
Aisee....mliinyoosha nchi kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…