fikirimswahili
Senior Member
- Sep 1, 2013
- 125
- 50
Amesema ni good news kwa mafisadi na watu kama hao.Good news? Sijui Pascal umepatwa na nini? Labda ni yale anayoyasema Gwajima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema ni good news kwa mafisadi na watu kama hao.Good news? Sijui Pascal umepatwa na nini? Labda ni yale anayoyasema Gwajima.
Plea Bargaining haikuwahi kuwa free from criticism.....scholars wengi wamekuwa wakicricize hi kitu na hoja yao kuu ni miscarriage of Justice mkuu.Futeni MAHAKAMA sasa.
Za nini wakati kuna SHORTCUT.
Ukifanya Kosa, Toa Pesa Uwe Huru.
Meko anaabudu sana PESA.
Na huku ukieendelea kukaa rumande mpaka utachoka na maana hakimu naomba mtuhumiwa arudi rumande uchunguzi haujakamilikaUkiona Plea Bargain ni wizi wa pesa zako, unauchuna tu kesi iendelee si utashinda?
Nenda kasome kwanza upya plea bargain ni nini ndiyo uje kuchangia hapa. Huelewi kitu wewe KifaurongoUkiona Plea Bargain ni wizi wa pesa zako, unauchuna tu kesi iendelee si utashinda?
Ok!Safiiii, very good, zamani kabla ya serikali ya awamu ya tano hawa mafisadi, wahujumu uchumi walikuwa hawaguswi, walikuwa miungu watu, sasa sheria inafuata mkondo wake, sio maskini tu kama sisi ndio tulikuwa tunaonewa, sasa binadamu wote ni sawa mbele ya sheria, na walipe mabilioni waliyoibia nchi yetu. Safi JPM
Sheria imejadiliwa na kupitishwa Bungeni, nikasome nini tena? Kasome wewe unaoyumbishwa na watu walioipitisha sasa wanajifanya hawaijui vizuri.Nenda kasome kwanza upya plea bargain ni nini ndiyo uje kuchangia hapa. Huelewi kitu wewe Kifaurongo
Biswalo Mganga, Mungu wako amekufa, ngoja tuone ufedhuli wenuToka lini plea bargain ikasimamiwa na DPP kwenye nchi inayofuata "Rule of Law"? Unafanyaje plea bargain kwenye maziingira ambayo upelelezi haujakamilika?
Ukweli ni kwamba plea bargain inayofanywa iko kinyume cha sheria na ni kichaka cha kujipatia fedha toka kwa waliolengwa. Ni unyang'anyi wa mchana unaofanywa purposefully na Jiwe na Biswalo Mganga.
Like zoezi lilikuwa ni dhuluma ya mchana tu. Angalia na ripoti ya CAG ya mwaka huu, halafu rudi usome uzi huu uone watu walivyotiririkaMkurugenzi wa mashtaka mh Biswalo Mganga amesema zaidi ya watuhumiwa 300 wa makosa ya uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru.
DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo linafanywa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge na kwamba hisia kuwa hiyo ni njia ya kuiingizia serikali mapato hazina msingi wala ukweli wowote.
DPP ameyasema hayo akiwa ziarani mkoani Tabora.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Ilikuwa sheria ya kipumbafu iliyopitishwa na bunge la kipumbafu kumfurahisha DIKTETA mpumbafu. Tushukuru Mungu ameingilia kati mwaka jana Machi 17!!Sheria imejadiliwa na kupitishwa Bungeni, nikasome nini tena? Kasome wewe unaoyumbishwa na watu walioipitisha sasa wanajifanya hawaijui vizuri.
Aisee....mliinyoosha nchi kwa kweliSafiiii, very good, zamani kabla ya serikali ya awamu ya tano hawa mafisadi, wahujumu uchumi walikuwa hawaguswi, walikuwa miungu watu, sasa sheria inafuata mkondo wake, sio maskini tu kama sisi ndio tulikuwa tunaonewa, sasa binadamu wote ni sawa mbele ya sheria, na walipe mabilioni waliyoibia nchi yetu. Safi JPM