Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Ana elimu gani??
Waulize DjiboutiNi wakati Sasa kama wazalendo tuwaombe radhi DP world Kwa kuwaghasi Kwa kejeli za kila namna.
1. Wao hawakujileta wenyewe nchini na wamefuata utaratibu wa makubaliano na mikataba halali.
2. Ikiwa Kuna kasoro iweje lawama apewe DP World? wao ni wafanyabiashara wanaangalia penye faida. Kama mmeshindwa ku-negotiate sio shida zake.
Du! Hawa majizi wametupiga pakubwa sana aisee!3 [emoji845]MUHIMU ISOME[emoji845]
#Tanzania
Katika ripoti ya @WorldBankAfrica ghafla DP World imeibuka [emoji2957]
Sasa ngoja niwaeleweshe [emoji1484]
Sehemu ya mkopo na msaada wa $421 milioni kuna pesa ya kujenga mfumo wa IT wa bandari kupitia TPA. Ripoti ya Benki ya Feb 2023 walisema hakuna maendeleo ILA TPA imesema imeingia makubaliano (MoU) na DP World kujenga mfumo huu wa IT [emoji845][emoji32]
ELEWENI: DP World watalipwa kutoka pesa hizi za mkopo wa Benki ya Dunia kusaidia “mifumo isomane” hawawekezi[emoji845]
Pili kwa mujibu wa serikali walisema ile MoU ya TPA na DPW ni kuhusu mfumo wa IT (tunaambiwa ilisainiwa Feb 2022)
Imekuwaje consultancy ya DPW ya IT imegeuzwa kuwa IGA na tunatoa bandari zetu kwa kusema eti DPW watatusaidia mifumo isomane alafu tunawapa uendeshaji wa bandari ambao UMESHAKAMILIKA kwa uwekezaji mkubwa wa mradi huu?
Hii dili ilianza kama CONSULTANCY na kugeuzwa UPORAJI
Sasa @WBTanzania nyie mnasemaje maana tuna kesi na ninyi pia!View attachment 2676763View attachment 2676764
Sent using Jamii Forums mobile app
safi sanaDp world forever
Hakikasafi sana
watu kama wewe kuna siku Mungu akiisafisha hii nchi, mtabaki kama mapopo na makunguru kama walivyo sabaya na bashite sasaivi. kwasababu mmejaa unafiki na mnajali tu matumbo yenu hata kwenye vitu vya msingi wa nchi.Ni wakati Sasa kama wazalendo tuwaombe radhi DP world Kwa kuwaghasi Kwa kejeli za kila namna.
1. Wao hawakujileta wenyewe nchini na wamefuata utaratibu wa makubaliano na mikataba halali.
2. Ikiwa Kuna kasoro iweje lawama apewe DP World? wao ni wafanyabiashara wanaangalia penye faida. Kama mmeshindwa ku-negotiate sio shida zake.
Siyo vizuri kuleta taarifa za kupotosha. Lawama zinawahusu hao DP World (Waarabu wa Dubai), pamoja na Wazanzibari wawili walioamua kuuza bandari za Tanganyika, huku wakiacha zile za kwao.Ni wakati Sasa kama wazalendo tuwaombe radhi DP world Kwa kuwaghasi Kwa kejeli za kila namna.
1. Wao hawakujileta wenyewe nchini na wamefuata utaratibu wa makubaliano na mikataba halali.
2. Ikiwa Kuna kasoro iweje lawama apewe DP World? wao ni wafanyabiashara wanaangalia penye faida. Kama mmeshindwa ku-negotiate sio shida zake.
napata amani sana watanzania tukiwa begakwabegaHakika
DP wanahusikaje na mkataba mmesaini tayari bila kushurutishwa? vigezo na Masharti vilikuwemo ndani ya mkataba, nyie mkakimbilia kuweka saini tu bila kusoma. Kosa la nani? Next time (mikataba mipya/mwingine) kuweni makini kabla ya kusainiSiyo vizuri kuleta taarifa za kupotosha. Lawama zinawahusu hao DP World, pamoja na Wazanzibari wawili walioamua kuuza bandari za Tanganyika, huku wakiacha zile za kwao.
Kabla hatujawaomba radhi waulize kwanza mwenzie na H.E Ahmed Mahboob Musabih ni nani na cheo chake, maana kuna saini tu hakuna jina wala cheo., huoni kama hata wao wanatakiwa watuombe radhi kwa kumuweka asiyejulikana.Ni wakati Sasa kama wazalendo tuwaombe radhi DP world Kwa kuwaghasi Kwa kejeli za kila namna.
1. Wao hawakujileta wenyewe nchini na wamefuata utaratibu wa makubaliano na mikataba halali.
2. Ikiwa Kuna kasoro iweje lawama apewe DP World? wao ni wafanyabiashara wanaangalia penye faida. Kama mmeshindwa ku-negotiate sio shida zake.
Soma Tena Mkataba mjomba. Mlisaini mkidhani mtaleta janja janja? Mkataba ufuatwe kama unavyotakaKabla hatujawaomba radhi waulize kwanza mwenzie na H.E Ahmed Mahboob Musabih ni nani na cheo chake, maana kuna saini tu hakuna jina wala cheo., huoni kama hata wao wanatakiwa watuombe radhi kwa kumuweka asiyejulikana.
Mkataba ni sanaa tu masee.., kwanza hata huyo mnayeemwita Prof daaah labda..,Soma Tena Mkataba mjomba. Mlisaini mkidhani mtaleta janja janja? Mkataba ufuatwe kama unavyotaka