3 [emoji845]MUHIMU ISOME[emoji845]
#Tanzania
Katika ripoti ya @WorldBankAfrica ghafla DP World imeibuka [emoji2957]
Sasa ngoja niwaeleweshe [emoji1484]
Sehemu ya mkopo na msaada wa $421 milioni kuna pesa ya kujenga mfumo wa IT wa bandari kupitia TPA. Ripoti ya Benki ya Feb 2023 walisema hakuna maendeleo ILA TPA imesema imeingia makubaliano (MoU) na DP World kujenga mfumo huu wa IT [emoji845][emoji32]
ELEWENI: DP World watalipwa kutoka pesa hizi za mkopo wa Benki ya Dunia kusaidia “mifumo isomane” hawawekezi[emoji845]
Pili kwa mujibu wa serikali walisema ile MoU ya TPA na DPW ni kuhusu mfumo wa IT (tunaambiwa ilisainiwa Feb 2022)
Imekuwaje consultancy ya DPW ya IT imegeuzwa kuwa IGA na tunatoa bandari zetu kwa kusema eti DPW watatusaidia mifumo isomane alafu tunawapa uendeshaji wa bandari ambao UMESHAKAMILIKA kwa uwekezaji mkubwa wa mradi huu?
Hii dili ilianza kama CONSULTANCY na kugeuzwa UPORAJI
Sasa @WBTanzania nyie mnasemaje maana tuna kesi na ninyi pia!
View attachment 2676763View attachment 2676764
Sent using
Jamii Forums mobile app