Dr Alinda Mashiku: Mtanzania anayeongoza kitengo cha NASA kinachosimamia Satelite zisigongane angani

Bravo, well done, so amazing listening to you, all the best, keep the ball rolling
 
Inafurahisha na inaumiza sana,Tanzania ina wataalamu wengi sana wa fani mbalimbali wanatoa mchango wao nchi nyingine na siyo hapa..

Tanzania ni siasa siasa tu wakati wote tena za maji taka..

UVCCM muione hii..
yaani akija Tanzania anashau hata kurusha tiara
 
Wewe unaona gender wenzako wanashangalia kuwa ni mchaga wao kuwa wao pekee ndio waliosoma na wamejazana Sana TRA. Ila ndugu zetu Hawa wakenya wameqaharibu Sana..
Ila huyu atakuwa ni mmachame mana sio kwa uwezo huu.
 
Huyu akija Tanzania CCM watasema ni wa kwao

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app

Labda akubali kutumika kwa propaganda uchwara - a big mistake. Yeye aje TZ kwa likizo na utalii tu. Akae mbali kabisa na serikali na siasa za bongo. They’re highly toxic.

Kwanza CCM hawataki wala hawawezi kufanya kazi na mtu wa aina hiyo - a real, genuine high level professional.
 
Nampongeza dada ametumia fursa ipasavyo. Wengi wakiwa huko hawana malengo ni starehe tu . USA ni nchi ambayo ukiwa na ndoto na juhudi Unafanya mengi
 
Haiwezi kuwa kazi ngumu kwa mbongo. Kwa mtogole huku watu wanapanga madanga na hayagongani sembuse hayo makitu yaliyo mamilion ya maili! Njoo muone watu nyumba moja madanga matatu na hayajuani (wadada wa kibongo noma sana) Hicho ni kipaji
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu asirudi, kama akirudi atajiunga na CCM na kupewa ukuu wa mkoa afu anaanza kuweka watu ndani bila logic behind.
 
Nimependa sana mtaalam wetu anaposema Mungu kaumba ulimwengu huu kwa ajabu sana na katupa sisi wanadamu uelewa mkubwa kujua ukuu wake.

Safi sana DR.
 
Kama kawaida yetu, mtu akishafika juu ndo tunaanza kuuonanutanzania wake.. Wengine washawahi itwa bungeni kwa namna hii... YAANI HATUSHUGHURIKI na yeyote katika KUHANGAIKA kupanda kwake lakini akishafika juu ndo tunaanza kujua utanzania wake... mfano yule mchezaji kwenye kombe la dunia last time anayesemekena anatokea Tanga
 
AMERICA is the country of opportunities..
Wanasemaga The Amercan Dream:-

Ukitamani Mjengo unafanikisha.. ila work hard.
Ukipenda Gari unaweza...ila fanya kazi
Ukiwaza Bilioni $ unakusanya... ila Chapa kazi usiku mchana.
Ukitaka Umaarufu utanyakuwa ubingwa... ila weka juhudi na jitume..
Ukipenda elimu ..ndiyo uwanja mkubwa wa Heshima
Hongera Dr.
 
Mshahara $30,000 kwa wiki - hutaki andamana.
 
Traffic wakimbie kwa sababu gani!!?
ww ni mwehu......
shamba kweli hii njemba......
usikute huyo anaweza akakwambia usukume ukuta......
na ww ukatii
 
Mshamba huyo jamaa mleta mada....
unaposema wanawake wanaweza manake unalinganisha.....
 
Unafahamu kama tajiri namba 1 Africa hanaga mke kabisa?
Sawa, lakini sialijizaa mwenyewe na kujikuza mwenyewe bila ya kuwa na mama na baba.
Kwa maana nyingine yeye sio mwanadamu bali ni Mungu.

Kwa maana hili uitwe mwanadamu unahitaji muunganiko wa nafsi mbili yaani Me + Ke = Mwanadamu
 
Sawa, lakini sialijizaa mwenyewe na kujikuza mwenyewe bila ya kuwa na mama na baba.
Kwa maana nyingine yeye sio mwanadamu bali ni Mungu.

Kwa maana hili uitwe mwanadamu unahitaji muunganiko wa nafsi mbili yaani Me + Ke = Mwanadamu
Kama nakuelewa vizuri ni kwamba matajiri au waliofanikwa wote wamelelewa vizuri na mama zao na wasiofanikiwa au masikini ni uzembe wa mama waliowazaa? Right?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…