Pre GE2025 Dr. Asharose Migiro, Mary Nagu walifaa kugombea Urais kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Comrade Tlaatlaah njoo huku
Gentleman,
Hayati Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema,

mwanasiasa aliekosa mipango, aliefilisika hoja na ushawishi, hutumia ukabila, udini au ukanda kutafuta uongozi.

kwahiyo ni muhimu zaidi kuwapuuza watu wa aina na mtoa hoja mpotoshaji 🐒
 
Ninashangaa sana wanaomkazania na kumpa chepuo mgombea urais wa chama cha mapinduzi mpaka inafika wakati unajaribu kuhoji uwezo wa akili zao.Leo hii Tanzania imefikia hatua CCM hata wakimsimamisha mgombea mwenye changamoto ya akili, kisha mgombea mwenye akili, uwezo na stahiki zote za kuwa rais bora akasimamishwa kupitia CHAUMA au ADC, bado kuna watu watajitoa akili na kuandamana kumuunga mkono mgombea wa CCM.Siasa zimekuwa za kishabiki zaidi badala ya uhalisia! Jambo ambalo ni hatari kwa nchi, tofauti na nchi za demokrasia ya kweli kama Kenya na Marekani ambapo chama si muhimu kuliko mgombea mwenyewe!

Leo kama nchi ingehitaji kiongozi mwanamke,tukizungumza uwezo na tukiweka uchawa pembeni, Mgombea wa CCM hamfikii hata robo Dr. Asharose migiro au Dr. Mary Nagu kwa kila kitu, uwezo, akili na uongozi bora. Kama isingekuwa uzanzibari na uanamke wake, sidhani kama mgombea wa CCM angekuwepo kwenye rada za uongozi wa nchi hii!

Awamu zote za nyuma hakuna Rais aliyemwona anafaa kuwa hata mkuu wa mkoa? Achilia mbali uwaziri. Leo hii aongoze nchi? Si bure tumeshuhudia awamu mbovu na isiyokubalika kwa watanzania kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.

Tunapaswa kujadili na kuzingatia uimara wa mgombea husika badala ya chama cha kisiasa
ccm mmeanza kamdomo sio mda twaja huko , maana mlikua na kamdomo sana kwenye chaguzi za chama tetu Chadema , tumewaonesha njia , punguzeni ka mdomo wakati mmejitakia wenyewe.
 
Ninashangaa sana wanaomkazania na kumpa chepuo mgombea urais wa chama cha mapinduzi mpaka inafika wakati unajaribu kuhoji uwezo wa akili zao.Leo hii Tanzania imefikia hatua CCM hata wakimsimamisha mgombea mwenye changamoto ya akili, kisha mgombea mwenye akili, uwezo na stahiki zote za kuwa rais bora akasimamishwa kupitia CHAUMA au ADC, bado kuna watu watajitoa akili na kuandamana kumuunga mkono mgombea wa CCM.Siasa zimekuwa za kishabiki zaidi badala ya uhalisia! Jambo ambalo ni hatari kwa nchi, tofauti na nchi za demokrasia ya kweli kama Kenya na Marekani ambapo chama si muhimu kuliko mgombea mwenyewe!

Leo kama nchi ingehitaji kiongozi mwanamke,tukizungumza uwezo na tukiweka uchawa pembeni, Mgombea wa CCM hamfikii hata robo Dr. Asharose migiro au Dr. Mary Nagu kwa kila kitu, uwezo, akili na uongozi bora. Kama isingekuwa uzanzibari na uanamke wake, sidhani kama mgombea wa CCM angekuwepo kwenye rada za uongozi wa nchi hii!

Awamu zote za nyuma hakuna Rais aliyemwona anafaa kuwa hata mkuu wa mkoa? Achilia mbali uwaziri. Leo hii aongoze nchi? Si bure tumeshuhudia awamu mbovu na isiyokubalika kwa watanzania kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.

Tunapaswa kujadili na kuzingatia uimara wa mgombea husika badala ya chama cha kisiasa
..aliyekuwa anastahili kuwa mgombea mwenza 2015 kwa kutumia factor ya uzanzibar, alikuwa Mh. Balozi Amina Salum Ally ambaye aligombea nafasi ya Urais na kuwemo kwenye tatu bora..anazo sifa zote za uongozi kupita hata Dkt. Migiro..kilichofanyika kilikuwa batili kabisa cha kumpa ugombea mwenza mtu ambaye hata hakuomba nafasi ya kugombea uwakilishi zanzibar, ilikuwa bahati mbaya aliyegombea Urais aliafiki ubatili huu ambao unaligharimu taifa hata sasa..yeye mwenyewe aliishia njiani! Huu ubatili uliofanyika 2015 this time 2025 lazima tuurekebishe!
 
Mama anawatoa nnyaa si mchezo. Iko hivi, aliyepandishwa na Mungu kamwe hawezi kushushwa na mashetani........mkashifuni kwa kashfa zozote mzitakazo lakini milele atabaki mbele yenu kwa miaka 10000. Historia ameshaiandika na anaendelea kuiandika.
Unatumia kigezo gani kusema kapandishwa na Mungu na si shetani? Je, Hitler, Idd amin, Mobutu setseseko walipandishwa na nani?
 
Kuna ile Falsafa ya chama kwanza mtu baadae.
Ifike kipindi urais iwe ni taasisi, hata tukimpa nchi Kingwendu mambo yanakwenda bila shida.
Na hii falsafa ndio imepelekea nchi kuwa shamba la bibi na maskini wa kutupa, Kwa katiba yetu hii mbeba maono wa taifa alipaswa kuwa mzalendo na mtu smart sana kichwani, mwenye maono ya mbali..imefikia mahala Leo hata gigy money anaweza kuongoza nchi mradi system imkubali!
 
Hua ananifurahisha sana akiwa anaongea na ccm wenzake, yani kuna namna mtu anaongea unaona kabisa huyu ataniambukiza ujinga nikiendelea kumsikiliza.
 
Gentleman,
Hayati Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema,

mwanasiasa aliekosa mipango, aliefilisika hoja na ushawishi, hutumia ukabila, udini au ukanda kutafuta uongozi.

kwahiyo ni muhimu zaidi kuwapuuza watu wa aina na mtoa hoja mpotoshaji 🐒
Kwa hiyo kwa akili zako za kiutu uzima, umekaa ukatafakari kabisa, ukaona mgombea wa CCM anauwezo kumzidi Dr. Asharose migiro, Dr. Nagu, na ndiye the best choice kiakili na kiuwezo kuliko mtu mwingine yeyote?
 
Ninashangaa sana wanaomkazania na kumpa chepuo mgombea urais wa chama cha mapinduzi mpaka inafika wakati unajaribu kuhoji uwezo wa akili zao.Leo hii Tanzania imefikia hatua CCM hata wakimsimamisha mgombea mwenye changamoto ya akili, kisha mgombea mwenye akili, uwezo na stahiki zote za kuwa rais bora akasimamishwa kupitia CHAUMA au ADC, bado kuna watu watajitoa akili na kuandamana kumuunga mkono mgombea wa CCM.Siasa zimekuwa za kishabiki zaidi badala ya uhalisia! Jambo ambalo ni hatari kwa nchi, tofauti na nchi za demokrasia ya kweli kama Kenya na Marekani ambapo chama si muhimu kuliko mgombea mwenyewe!

Leo kama nchi ingehitaji kiongozi mwanamke,tukizungumza uwezo na tukiweka uchawa pembeni, Mgombea wa CCM hamfikii hata robo Dr. Asharose migiro au Dr. Mary Nagu kwa kila kitu, uwezo, akili na uongozi bora. Kama isingekuwa uzanzibari na uanamke wake, sidhani kama mgombea wa CCM angekuwepo kwenye rada za uongozi wa nchi hii!

Awamu zote za nyuma hakuna Rais aliyemwona anafaa kuwa hata mkuu wa mkoa? Achilia mbali uwaziri. Leo hii aongoze nchi? Si bure tumeshuhudia awamu mbovu na isiyokubalika kwa watanzania kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.

Tunapaswa kujadili na kuzingatia uimara wa mgombea husika badala ya chama cha kisiasa
Mkuu kongole, umeongea ukweli mtupu! na hii hoja huo naihubiri mara Kwa mara ktk mijadala yangu nje ya jukwaa Kwa kutolea mifano ya hao wamama ambao ni wasomi na wenye weledi mkubwa...nadhani tabia ya Kubebana ndio imetufikisha hapa tulipo...leo hii sasa imefikia mahala hata gigy money akiteuliwa na chama kuwania u-namba moja, basi watanzania wengi ni kujikomba na kuimba mapambio! Umaskini, elimu duni, kutojitambua pia vimechangia
 
Sijasoma uzi zaidi ya title ila naunga mkono hoja yako
 
Aihitaji kuwa na uwezo mkubwa na akili nyingi kuongoza nchi hii, hata GIGY MONEY anaweza akaupiga mwingi Kwa nguvu ya machawa pembeni..kwanza wenye akili na uwezo hawatakiwi kbs
 
Kwa hiyo kwa akili zako za kiutu uzima, umekaa ukatafakari kabisa, ukaona mgombea wa CCM anauwezo kumzidi Dr. Asharose migiro, Dr. Nagu, na ndiye the best choice kiakili na kiuwezo kuliko mtu mwingine yeyote?
CCM ina hazina kubwa ya wenye uwezo wa kuliongoza taifa.

hakuna haja ya kubabaika wala kung'ang'ana na sijui fulani au fulani, wakati tayar taifa linaongozwa vizuri zaidi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote,

huku chuki binafsi zikiendelea kuwatafuna wenye gubu na washirikina kama wewe gentleman.

Na bado 🐒
 
Awamu zote za nyuma hakuna Rais aliyemwona anafaa kuwa hata mkuu wa mkoa? Achilia mbali uwaziri. Leo hii aongoze nchi? Si bure tumeshuhudia awamu mbovu na isiyokubalika kwa watanzania kuwahi kutokea katika historia ya Tanzania.

Tunapaswa kujadili na kuzingatia uimara wa mgombea husika badala ya chama cha kisiasa
Wakati Mama Samia ni waziri wa nchi anayeshughulikia muungano wewe ulikuwa unamkatia viuno mumeo? Wakati Mama Samia akiwa waziri wa utalii Zanzibar, mamako alikuwa wapi? Acha kashfa za kipuuzi binti. Urais sio cheo cha kusomea au kwa ajili ya watu fulani tu. Ukimtoa Jakaya Kikwete, maraais waliobakia wote waliupata urais bila kuweka jitihada kubwa kwenye kuupata.. bahati zaidi zilihusika. Ila hakuna Rais wa Tanzania kaingia kwenye urais bila kupitia kwenye uwaziri. Inashangaza sana kuona pia kuna wanaharamu wengine hapa wanakuunga mkono upumbavu ulioandika.
 
Kwa kweli huyu mwanamke ni zero kabisaa! Sjui tapeli kikwete aliona nin kwake had akampendekeza kua makamu wa rais….Ilhali magufuli alimtaka Hussein Mwinyi.
Babako aliona nini kwa mamako hadi akamtia mimba ukazaliwa wewe mwanaharamu?
 
Back
Top Bottom