Pre GE2025 Dr. Asharose Migiro, Mary Nagu walifaa kugombea Urais kupitia CCM

Pre GE2025 Dr. Asharose Migiro, Mary Nagu walifaa kugombea Urais kupitia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kuna ile Falsafa ya chama kwanza mtu baadae.
Ifike kipindi urais iwe ni taasisi, hata tukimpa nchi Kingwendu mambo yanakwenda bila shida.
Mkuu
Huyo msanio uliyemtaja akiisoma post yako hatafurahi.
 
Leo kama nchi ingehitaji kiongozi mwanamke,tukizungumza uwezo na tukiweka uchawa pembeni, Mgombea wa CCM hamfikii hata robo Dr. Asharose migiro au Dr. Mary Nagu kwa kila kitu, uwezo, akili na uongozi bora. Kama isingekuwa uzanzibari na uanamke wake, sidhani kama mgombea wa CCM angekuwepo kwenye rada za uongozi wa nchi hii!
ص
Huwezi kukuta mahala popote naandika ujinga huo wa maneno unayotaka kuniwekea.

I dare you tafuta quote yoyote ya ubaguzi kutoka kwangu iwe ya udini, Kabila, sexism au ubaguzi wa nchi jirani.

Keep your nonsense to yourself.
Mkuu naomba rudia nilichokuwa nakijibu hapo juu kutokak kwa Abraham Lincoln na mchango wako wa awali kuhusu nilichoandika, halafu soma mchango wako wa sasa. Kuna mahali nimukuhusisha wewe? Jitahidi kusoma between the line halafu utoe mchango.

BTW: The issue of keeping my nonsense to myself is kept into consideration if at all what you have seen it as a nonsense is a real nonsense and not the other way round.
 
Back
Top Bottom