
Masuala ya nepotism (udugu), alitoka kusomea udaktari urusi miaka ya 90, karudi moja kwa moja na kuwa daktari wa wilaya ya Mpwapwa. Afisa tawala wa mkoa wa Dodoma Enzi hizo akiitwa mama Senyagwa kwa ukabila tu (ni mpare mwenzie) bila hata kujirizisha na kuangalia vyeti vyake vyote akampa wilaya ya Mpwapwa awe ni mganga mkuu.
Daktari huyo hakumaliza semester zote nchini Urusi wala hakufanya internship hospitali yoyote hapa Tanzania.
Kawa DMO bila kuwa na sifa wilaya ya Mpwapwa, Arumelu, Hanang na mwisho Kinondoni hapa DSM.
Siku za mwizi zilipofika alikamatiwa wilaya ya Kinondoni katika zoezi la uhakiki wa vyeti kwamba ni wakamdemote haraka sana na kupelekwa kwenye kituo cha afya cha Mbagala rangi tatu kuwa mganga wa kawaida tu
Kala mshahara wa DMO kwa miaka ishirini na bila kukamatwa ila walianza sehumu nyingi kumtilia mashaka uwezo wake maana theatre alikuwa anakuona kama kituo cha polisi.
Huyo ndiyo Dr. Azizi Shabaan Msuya