Tetesi: Dr. Aziz Msuya kawa daktari wa wilaya zaidi ya miaka 20 bila kuwa na sifa

Tetesi: Dr. Aziz Msuya kawa daktari wa wilaya zaidi ya miaka 20 bila kuwa na sifa

Duuu....huu ukaguzi utachimbua mengi,uendelee kwa kweli,watu wa aina hiyo kwa figisu ni balaa,akigundua una sifa kumzidi mbona utaisoma mizengwe kwenda mbele.
 
HAKUMALIZA semesters zote za chuo.

Inamaana haku-graduate, then HAKUPATA Cheti.

Swali: Je, aliajiriwa vipi huko serikalini as DMO bila Cheti?

Huko Mbagala hospital, iweje ahamishiwe (by demotion) huko if hana Cheti?

Je, what if aliacha kusoma huko Urusi (by either kudisco or whatever), kisha akajoin akasoma na kuhitimu Chuo kingine unknown to you? Ama hili haliwezekani?

Hili bandiko lako sounds like majungu tu. You are just selling smokes!

Otherwise, weka bandiko lako vizuri.

-Kaveli-
 
20 years inasikitisha hata kujiongoza....!!!
 
Daktari msomi was Urusi kwa mini asiwe na sifa? Nilizani kahitimu pale walikotupa Cadavers. Elimu ya Urusi iko vizuri na ndio sababu hatujasikia kashindwa kutibu.
Jifunze kuthamin na kuamini vya nyumbani kuliko hivyo vya Urusi unavyovisifia, unajuaje kama huko alikokua kapata ma zero zero yasiyoeleweka, undugu ukam favor na imani haba ya wataalamu wa nyumbani pia ikampaisha kisa tu vyeti vyake vimekuja kwa Ndege
 
Sidhani kama ni ukweli,namjua vizuri akiwa arumeru,ni Dr mzuri sana na aliiweka vizuri hosp ya wilaya ya arumeru kiuongozi na kiutawala,kukawa na discipline ya kazi na mpaka George Bush aliitembelea na yeye kupewa certificate white house.sielewi hii story kama ni ya kweli,weka vithibitisho.
 
Naomba mtoa mada anijibu maswali haya kabla ya kuendelea na mjadala huu

1.Unadai eti dk msuya hakumaliza semister zote urusi miaka ya 90, ina maana hakuhitimu udaktari swali je ilikuwaje akaajiriwa kama daktari???

2.Unavodai eti hakuwahi kufanya intern sehemu yoyote tanzania
je alisajiliwaje kuwa daktari nchini tanzania?????

3.Unadai eti amekamatwa
 
Sijui siku izi jf imekuwaje mtu analeta majungu yake watu wana comment bila kuhoji ukweli wake.

Naomba mtoa mada anijibu maswali haya kabla ya kuendelea na mjadala huu

1.Unadai eti dk msuya hakumaliza semister zote urusi miaka ya 90, ina maana hakuhitimu udaktari swali je ilikuwaje akaajiriwa kama daktari???

2.Unavodai eti hakuwahi kufanya intern sehemu yoyote tanzania
je alisajiliwaje kuwa daktari nchini tanzania?????

3.Unadai eti amekamatwa n
we ni mgenii hii nchi?
 
You would think 20 yrs is a lot in medicine ukizingatia technology advancement wazungu wanazokuja kubaki na kibali cha kuweza kufanya practices for 20 surely kuna vikozi vyakujiongeza kwenda sambamba na modern practices. Ina maana huko awakumbaini pia kama hana kiwango.

Pili sector ya afya deal na maisha ya watu serikari makini lazima iwe inafanya appraisals zake kuakikisha wahudumu wote wanafanya kazi kwa viwango vya kimataifa; pale unaposema kuna dodgy Dr or Nurse na amedumu kwa miaka ishirini. A lot of ppl should be answerable huko wizara ya afya.
 
Hakuna kila hapo,hususani kwenye sekta ya umma.Pia hakuna jipya kwa graduates wa Russia.Tulikuwa tunawaita MD Chechnya,wakirudi toka Russia wamesoma na lugha ya Kirusi,sharti wafanye internship kwa uchache Miaka 2 enzi hizo!Na walikuwa wazi,kwamba toka wanaanza kusoma hadi wanahitimu,walikuwa hawaruhusiwi kugusa mgonjwa (Kaubaguzi Fulani hivi).Nikikumbuka baadhi ya actions zake pale Kinondoni,zilikuwa zinatia Shaka kuhusu Elimu yake.Kwa sasa yuko Mbagala!!Kwa set up za umma kuna changamoto za vyeti.Kuna watu tumesoma nao,internship hawafanya:hivyo Nassau kuwa registered na professional body;lakini utakuta mahali ni Mkuu wa Kitengo.Tulienda mbali......
 
Bora hata muhasibu fake km wale wa data record kuliko Dr fake anakuuwa hivi hivi jamani.
 
Daktari msomi was Urusi kwa mini asiwe na sifa? Nilizani kahitimu pale walikotupa Cadavers. Elimu ya Urusi iko vizuri na ndio sababu hatujasikia kashindwa kutibu.
hebu soma vzur uelewe.. acha kuongelea tundu la mavi
 
Back
Top Bottom