Tetesi: Dr. Aziz Msuya kawa daktari wa wilaya zaidi ya miaka 20 bila kuwa na sifa

Hahahahaha Chumba cha upasuaji alikuwa anakikwepa ina maana hakugusa hata intro ya anatomy.Lakini madaktari wengi wa urusi na cuba walikuwa wa zuri basi yeye peke yake ndio alitoka kapa.
Kwani kila daktari lazima ajue upasuaji?
Kule mirembe wapo madaktaei nasijasikia wakipasua mtu!
 
Tena alikuwa mganga mkuu wa hosp ya patandi iliyoko tengeru wilaya ya arumeru na hapo ndipo alipotoka na kiamia kinondoni sasa haiwezekan miaka 20 mtu afanye kazi bila ya kuwa na sifa huu uzi wa matokeo ya kunywa london viroba na bangi mbichi
 
Akamatwe aliyempa kazi inawezekana wengi walipoteza maisha kwa undugunaizeshini huo naomba akauze binzari ndo inamfaa.
 
Fedha hizo alizokuwa analiwa bila kuwa na taalum ahusika inakuwa hasa au ataudisha?

Mi huwa nauliza sijapatavjibu,haiwezekani atutapeli kwa miaka ishirini halafu abakie salama tu, kwanza kama huyo kwa nini wamhamishe na kumshusha tu?
Apigwe chini!
 
Kua mtanzania ni nuksi tu,kuna watu wanafanya nachukia sana hili eneo,hivi jamani inawesekana mtu umeumbwa na ubongo wako mzuri unashindwa kuutumia kufikiri vyema?mada kama hii inaletwa unacomment bila kufikirisha akili yako?mtu kashiba kande zake analeta majungu na umbea mitandaoni bila evidence then watu wana support,sad.
 
Kabla ya ubishi mwingi na kupishana ebu tuambieni... Nyie mnao bisha... Aziz Msuya ni kweli kaamishiwa mbagala? Na kama kweli kawa Dr wa kawaida? Kwanini?
 
Kabla ya ubishi mwingi na kupishana ebu tuambieni... Nyie mnao bisha... Aziz Msuya ni kweli kaamishiwa mbagala? Na kama kweli kawa Dr wa kawaida? Kwanini?
Sawa kabisa
tunaomba mleta mada alete ushahidi wa dk msuya kuhamishiwa mbagala kama mganga wa kawaida alafu ndo tuendelee na mjadala.
 
Msituchafue WAPARE hao ni vibaka kama vibaka wengine unajua labda ni mtoto wa dada ake au shangazi wake, ucheni kuingiza ukabila kwenye mambo ya KIHALIFU.
Lakini ukienda police unaulizwa kabila first
 
Lakini ukienda police unaulizwa kabila first
Sio tatizo kabila haliusiani na uharifu na mtoa mada alitumia kabila kwa nia nyingine haikuwa na sababu, muhalifu ni muhalifu tuu.
 
Ivi ni lini utaacha unafki wako??

Naomba utoe "SUPPORTING DOCUMENTS"

kudhibitisha unachokisema.
Mie huna nakasirika Sana na mtu mwenye kuchukua Picha ya Mwenzie kwasababu ya Ugomvi naye plus majungu yake binafsi then anakuja Jf kutengeneza Post yake.

Jaman hii tabia siyo nzuri hata kidogo.

Best nakuomba uweke Ushahidi wa Vielelezo vya Post yako ilj utudhibitishie unachokisema.

Otherwise wewe utakuwa unaUgomvi nae Kitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…