Namna alivyozungumza ni kama hataki wakulima wadanganyike na hizo kauli za wapambe iwapo wao wananyonywa.Amesemaje kuhusu kauli za kusifia-sifia, asante kwa kuleta pesa/anaupiga mwingi nk ??
Simama jinyooshe jipige kifuani mara moja sema Gobole ni zuzu.Hii video na kilichoandikwa na Raia kwema ni km mbingu na ardhi...nothing incomon
Amesema ukweli Wala hajadanganya. Napenda courage kama hizi[emoji3059][emoji3059]
Leo hii kinyago mlicho kichonga wenyewe kinawatisha??????!!!!....... ajabu hii.Ukurasa wa mbele wa Gazeti la Raia Mwema, Novemba 19, 2022
View attachment 2420561
- Dr. Bashitu alipuka
- Awavaa wanaosifu utawala wa Samia
- Akerwa na kauli za “Anaupiga mwingi”
Hahahaa, mkuu ulitaka ataje kabisa neno Rais?Namna alivyozungumza ni kama hataki wakulima wadanganyike na hizo kauli za wapambe iwapo wao wananyonywa.
Sijui lakini, binafsi sioni kama alichozungumza ni kushambulia utendaji wa raisi, ni kama kawashambulia wapambe wanaomsifia raisi huku wakiwanyonya wakulima
Hivi Ukraine si tuna ubalozi?Hahahaa, mkuu ulitaka ataje kabisa neno Rais?
Polepole alikuwa akimshambulia Rais hata siku moja? Lakini alieleweka alikuwa akimsema nani ndio maana akapelekwa Malawi
Hapo kwenye kuaminika Kuna walakini ila Yote katika yote tunahitaji viongozi wa kutusemea kama hivi waimba mapambio wamepitiliza.
Bashiru anachokitafuta atakipata.Nadhani baada ya kuona video umepata mtazamo mpya tofauti na huu[emoji1541]
Bashiru kwa ukubwa wake na akili zake hawezi kuwa too low kumkosoa Nambari moja. Wenye akili tunaomjua bashiru hizo sio zake kuropokaropoka.