Dr. Bashiru alipuka, akerwa na Kauli za “Anaupiga mwingi”

Amesemaje kuhusu kauli za kusifia-sifia, asante kwa kuleta pesa/anaupiga mwingi nk ??
Namna alivyozungumza ni kama hataki wakulima wadanganyike na hizo kauli za wapambe iwapo wao wananyonywa.

Sijui lakini, binafsi sioni kama alichozungumza ni kushambulia utendaji wa raisi, ni kama kawashambulia wapambe wanaomsifia raisi huku wakiwanyonya wakulima
 
Hahahaa, mkuu ulitaka ataje kabisa neno Rais?
Polepole alikuwa akimshambulia Rais hata siku moja? Lakini alieleweka alikuwa akimsema nani ndio maana akapelekwa Malawi
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hahahaa, mkuu ulitaka ataje kabisa neno Rais?
Polepole alikuwa akimshambulia Rais hata siku moja? Lakini alieleweka alikuwa akimsema nani ndio maana akapelekwa Malawi
Hivi Ukraine si tuna ubalozi?
 
Inashangaza sana halafu wanaosema hivyo wapo gizani na hawajaoga wiki.
 
Nadhani baada ya kuona video umepata mtazamo mpya tofauti na huu[emoji1541]
Bashiru kwa ukubwa wake na akili zake hawezi kuwa too low kumkosoa Nambari moja. Wenye akili tunaomjua bashiru hizo sio zake kuropokaropoka.
Bashiru anachokitafuta atakipata.
 
Back
Top Bottom