Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Namna alivyozungumza ni kama hataki wakulima wadanganyike na hizo kauli za wapambe iwapo wao wananyonywa.Amesemaje kuhusu kauli za kusifia-sifia, asante kwa kuleta pesa/anaupiga mwingi nk ??
Sijui lakini, binafsi sioni kama alichozungumza ni kushambulia utendaji wa raisi, ni kama kawashambulia wapambe wanaomsifia raisi huku wakiwanyonya wakulima