Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Tuombe ufafanuzi wa kauli ya 'bwana yule' aliyemwambia bwana yule kuwa sumu haionjwi kwa kulamba labda Kuna uhusiano na ulichoulizawanaoitwa hawajipendi ndio wale wanaookotwa kwenye viroba ?
By Kikwete's voice "Hiyo kauli ni ya kujimwambafai""Hakuna Kiongozi ambaye ameitwa na akakataa kuitikia wito uongo, huyo anajipenda au hajipendi?, mambo ya kuitana hayajaanza leo, Watu huitwa wengine hata kufukuzwa tangu enzi za TANU wakati mimi sijazaliwa wala Magufuli hajazaliwa,kuna jipya gani?”-Dkt, Bashiru Ally, Katibu CCM
Kwa ushahidi wa mazingira, huo ndiyo ukweli mtupu kwa asilimia 100wanaoitwa hawajipendi ndio wale wanaookotwa kwenye viroba ?
Dkt Bashitu of UDSM and Dkt Bashiru of Lumumba are 2 very different people!"Hakuna Kiongozi ambaye ameitwa na akakataa kuitikia wito uongo, huyo anajipenda au hajipendi?, mambo ya kuitana hayajaanza leo, Watu huitwa wengine hata kufukuzwa tangu enzi za TANU wakati mimi sijazaliwa wala Magufuli hajazaliwa,kuna jipya gani?”-Dkt, Bashiru Ally, Katibu CCM
Kusema ccm ilwaokota wapi hawa jamaa ni kuipa ccm uhai ilikhali kiukweli ni kuwa ccm ilishakufa 2015 machizi Fulani yakaiokota pale Lumumba na sasa yamevaa ngozi tu ya lilelile li ccm na kuyafanya bila kificho yaliyosababisha kifo cha ccm
Maiti haiwezi kosolewa labda niwe nafanya kazi ya mochwari attendantNinyi wanachama wa ccm wakweli endeleeni na juhudi ya kuikosoa ccm...
Keep it up..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio products za jalalani hizo.Mimi nadhani sio busara kwa KM kujibu kila kitu, mambo mengine awe ananyamaza tuu na kumuachia Polepole.
P
Hapo 'anajipenda au hajipendi' panaleta ukakasi, ina maana wasingefika wangetoweshwa kwenye uso wa dunia. Hili genge ni hatari sana zaidi ya Mafia."Hakuna Kiongozi ambaye ameitwa na akakataa kuitikia wito uongo, huyo anajipenda au hajipendi?, mambo ya kuitana hayajaanza leo, Watu huitwa wengine hata kufukuzwa tangu enzi za TANU wakati mimi sijazaliwa wala Magufuli hajazaliwa,kuna jipya gani?”-Dkt, Bashiru Ally, Katibu CCM
"Hakuna Kiongozi ambaye ameitwa na akakataa kuitikia wito uongo, huyo anajipenda au hajipendi?, mambo ya kuitana hayajaanza leo, Watu huitwa wengine hata kufukuzwa tangu enzi za TANU wakati mimi sijazaliwa wala Magufuli hajazaliwa,kuna jipya gani?”-Dkt, Bashiru Ally, Katibu CCM
Ww kama nani?au umekaimu nafasi ya musiba?Mimi nadhani sio busara kwa KM kujibu kila kitu, mambo mengine awe ananyamaza tuu na kumuachia Polepole.
P
Huyo mhutu anajimwambafai tu ataondoka kwa aibu hapo.Wameitwa Dom wakaenda Lumumba.. Siku waliyopangiwa hawakwenda bali wakaenda siku waliyotaka... Badala ya kuhojiwa wao ndio wakahoji...!!!
UKISIKIA CCM INA WENYEWE NDIO HAWA SASA
Jr[emoji769]
Kauli hii kama ni kweli imetolewa na Bashiru, Katibu Mkuu wa CCM, inadhihirisha yaliyosemwa kuhusu kugoma kwa hao wazee kwenda kuhojiwa."Hakuna Kiongozi ambaye ameitwa na akakataa kuitikia wito uongo, huyo anajipenda au hajipendi?, mambo ya kuitana hayajaanza leo, Watu huitwa wengine hata kufukuzwa tangu enzi za TANU wakati mimi sijazaliwa wala Magufuli hajazaliwa,kuna jipya gani?”-Dkt, Bashiru Ally, Katibu CCM