Haya yote tutajua baada ya kupewa kipigo cha mbwa koko mwezi oktoba mwaka huu. Nyie endeleeni kushangilia vitu visivyo na maana badala ya kupigania tume huru.Wameitwa Dom wakaenda Lumumba.. Siku waliyopangiwa hawakwenda bali wakaenda siku waliyotaka... Badala ya kuhojiwa wao ndio wakahoji...!!!
UKISIKIA CCM INA WENYEWE NDIO HAWA SASA
Jr[emoji769]
Halafu kazini anatolewa mtaalamu kama Dr. Mahiga, anaenda kuwekwa mropokaji kama Kabudi!Jamaa anaonekana hana busara .... Tatizo, JPM akivutiwa na uongeaji wako basi unapata cheo. Hawa akina Bashiru, Poleple na Kabudi wako hapo walipo kwa ajili ya midomo yako tu.
Hivi huyu Bashiru hataki tu kukubali yaishe? Tunajua alishafungwa bao la dobo na Kinana na Makamba, sasa hizi kelele za kuonyesha CCM ndio walioshinda ni dalili za kuwa na inferiority complex."Hakuna Kiongozi ambaye ameitwa na akakataa kuitikia wito uongo, huyo anajipenda au hajipendi?, mambo ya kuitana hayajaanza leo, Watu huitwa wengine hata kufukuzwa tangu enzi za TANU wakati mimi sijazaliwa wala Magufuli hajazaliwa,kuna jipya gani?”-Dkt, Bashiru Ally, Katibu CCM
Wameitwa Dom wakaenda Lumumba.. Siku waliyopangiwa hawakwenda bali wakaenda siku waliyotaka... Badala ya kuhojiwa wao ndio wakahoji...!!!
UKISIKIA CCM INA WENYEWE NDIO HAWA SASA
Jr[emoji769]
Bashiru ni kama anaanza kupoteza uelewa. Sijui na mamlaka au tulikuwa tunamweka position ambayo siyo yake.
Hivi huyu Bashiru hataki tu kukubali yaishe? Tunajua alishafungwa bao la dobo na Kinana na Makamba, sasa hizi kelele za kuonyesha CCM ndio walioshinda ni dalili za kuwa na inferiority complex.
TumboKuwa mwalimu mzuri wa chuo kikuu na uongozi wa kisiasa, hasa siasa za kijima za zama hizi ni mbingu na ardhi. Badhiru alifanya kosa kubwa sana kukubali nafasi ya KM wa ccm kipindi hiki.