Yaani wakati wa kinana kidogo ulikuwa unaona kabisa kuna sera za kukampeni na wabunge na wagombea wengine walikuwa wanashindana na kishinda na kushidwa.
Sasa huyu Profesa ambaye hajui, hapendi na wala si mwana siasa sera yake ni kupambana na viongozi wa uchaguzi kuzuia wagombea, kuingiza wakuu wa wilaya kwenye siasa na kununua wapinzani.
Hakuna hata chaguzi mmoja ambayo imeshidwa kwa sera kwa miaka minne. Nchi yetu badala ya kupanda kwenye demokrasia imezidi kudidimia.
Katika mambo yote Rais anafanya fanya vibaya kwenye siasa na kuleta magombano ambayo hayana msingi ndani na nje ya chama kwa sababu hana katibu mzuri.
Huyu katibu ambaye badala ya kujifunza analazimisha watangulizi wake warekodiwe na usalama wa taifa ili ajue wanaongea nini!. Sehemu za serikali analazimisha ziwe za siasa.
Badala ya raisi kuzingatia maendeleo sasa ameingizwa kwenye majanga na waandishi wa habari, balozi, na vyama bila kuona faida kwa chama au taifa.
Yaani malumbano hayana "strategic benefits" yeyote na watu wanabaki na kushangaa ni kwa nini mambo ya siasa ya ajabu yanatokea jibu ni huyu katibu mkuu ambaye ni zuba na ndiye mshauri wa raisi wa siasa.
Yaani unaweka uhusiano na chama cha china ambayo kina weka watu jela kwa imani zao waislamu milioni 1 wako kwenye ma kambi ya kubadilishwa fikra china, wachungaji wanafugwa bila sababu.
Chama cha China kinataka wachina waabudu chama na serikali tu!. Chama ambacho kina sera ya kutoa mimba kwa wananchi kwa nguvu.
Huyu katibu angekuwa Mchina leo hii angekuwa kwenye kambi ya kubadilishwa fikra. Leo nchi yetu ambayo ni ya uwazi, dini zote, na inakataza kutoa mimba ndiyo inaweka urafiki na chama kama hiki.
Hebu jiulize ni kitu gani hasa tunapata hapa zaiidi ya mbinu za kuzuia demokrasia.
Matatizo mengi ya siasa yanatokana na hawa viongozi wasio na uzoefu zamani viongozi wengi walikuwa kwenye siasa kwa miaka mingi sana kabla ya kuwa viongozi! hawa viongozi wa kuokota ni tatizo sana kwa taifa.