Dr. Bashiru Ally sio mwanasiasa ni mnunuzi na mkomunisti asiyependa demokrasia

Dr. Bashiru Ally sio mwanasiasa ni mnunuzi na mkomunisti asiyependa demokrasia

Kamundu,
Kuna wakati fulani tukilima mpunga Kyela tulikuwa tunaweka Masanamu mashambani kuzuia ndege Sogosera na Mwarangi kula mpunga wetu , na wakati mwingine masanamu yale tuliyavisha nguo ili yaonekane kama watu .

Hiki ndicho alichokifanya Magufuli, kateuwa watu halafu kawafanya kama masanamu tu, anachotaka yeye ndicho wanachokifanya , Bashiru kawa kama kivuli tu hana mamlaka yoyote yale , amebaki kulinda chakula chake tu
 
Unao ushahidi wa hayo unasema? ukiwa na akili inatizama Makonda amenunua nini badala ya kuangalia kama anatimiza majukumu yake kuwatumikia wananchi ujue kichwani hakuko Sawa.. tunaongelea CCM hapa wewe unaleta chuki zako kwa Makonda na Sabaya.. hata hivyo mbona hutaji hayo Mazur wanayofanya kwa nchi? wewe mangapi umefanya yenye faida kwa hata jirani zako?
Nimekuuliza uliangalia clip na nini maana ya Makonda style, hujajibu unaanza mengine! Narudia nini maana ya Makonda style?
 
Nidhamu, Itikadi na Kazi! hutaki kusikia haya tafuta chama unachoona unafanana nacho.. Kelele za nini, ni lazima ufie CCM?
 
Mazoea ya kuendesha chama kiswahili yaliishia 2015, CCM iko kwny ukurasa mpya..
 
Mazoea ya kuendesha chama kiswahili yaliishia 2015, CCM iko kwny ukurasa mpya..
Sasa hata ukaguzi makini hatutaki mana kuna ile 1.5 tr mpaka leo hakuna majibu zaidi ya zile hesabu za slowslow. Ccm na wizi ni mapacha ukiachilia mbali swala lao jipya la kupoteza/kiteka raia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi naamini yeye hana tatizo bali tatizo ni hicho kichaka alichojificha(CCM).

Kwani ni nani ambaye hamkumbuki Humphrey Pole Pole kipindi kile bado hajala shavu la katibu uenezi jinsi alivyokuwa mahiri wa hoja zenye ujenzi wa kimatiki tena wa hali ya juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujamaa na demokrasia ni mbingu na ardhi.Na huwezi kuwa mkomunisti na usiwe dikteta
 
Kwenye demokrasia Na sayansi ya siasa huwezi fananisha kinana Na bashiru.utakuwa unaumwa.bashiru Ni kinda
Mwizi ni mwizi tu ata awe nani , sasa inashangaza kumlinganisha Bashiru na wezi acha izo wewe
 
Bashiru Ni mmoja wa wale wapuuzi waliookotwa jalalani.
 
Mwizi ni mwizi tu ata awe nani , sasa inashangaza kumlinganisha Bashiru na wezi acha izo wewe
Nani kakuambia kamba Bashiru siyo Mwizi? wanatofautiana kile wanachoiba, lakini wote ni wezi tu
 
Back
Top Bottom