Sio wezi au ni wezi zaidi? Why hate Assad? Vitisho ni ili watu wakae kimya tule nchi!CCM ya sasa ndio bora kabisa toka CCM ile iliyoachwa na Mwl. Huwezi kusema una chama ambacho kila serikali inapotaka kufanya maendeleo ambayo wananchi nao wana sehemu ya kuchangia unasikia wanasema tutarudisha kadi za CCM.. enzi za Makamba na Kinana, mtu mmoja vyeo kumi, Mnec, m/kiti wa wilaya, mbunge, mjumbe kamati kuu nk... upuuzi mtupu, hayo ndio utalinganisha na leo? thubutu! Umesikia wapi wanaCCM wmeita media wanatishia kurudisha kadi? CCM ya sasa ndio ilipaswa iwe hivi miaka 15 iliyopita, ina watendaji wasomi hawana uswahili na mizaha ya kijinga, siyo wezi, hawana biashara kama waliopita.. Dkt. Bashiru amefit kwenye nafasi hiyo hakuna ubabaishaji tena!!
Kwenye demokrasia Na sayansi ya siasa huwezi fananisha kinana Na bashiru.utakuwa unaumwa.bashiru Ni kindaMna matatizo sana Kinana mlisema mwizi leo bila aibu mnaona afadhali Kinana kuliko Bashiru , nyie watu mtaugua vichaa
Unao ushahidi wa hayo unasema? ukiwa na akili inatizama Makonda amenunua nini badala ya kuangalia kama anatimiza majukumu yake kuwatumikia wananchi ujue kichwani hakuko Sawa.. tunaongelea CCM hapa wewe unaleta chuki zako kwa Makonda na Sabaya.. hata hivyo mbona hutaji hayo Mazur wanayofanya kwa nchi? wewe mangapi umefanya yenye faida kwa hata jirani zako?Sio wezi au ni wezi zaidi? Why hate Assad? Vitisho ni ili watu wakae kimya tule nchi!
Wanasema Bashite sasa ni bilioneire kazitoa wapi hela? Uliona clip ya mkuu wa wilaya ya Hai? Makonda style maana yake nini? Be a GT please!
Bashiru ni mganga njaa tuBashiru Ali ni Mwalimu wa Political Science lakini SIYO POLITICIAN.
Wa lile kundi maarufu la waliookotwa majalalani bila shaka.Ni Mpuuzi anayejificha kwenye ukomunist