Urafiki wa CCM NA CCP umeanza muda mrefu sana enzi za Nyerere na Mao. Incase hufahamu historia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza uliangalia clip na nini maana ya Makonda style, hujajibu unaanza mengine! Narudia nini maana ya Makonda style?Unao ushahidi wa hayo unasema? ukiwa na akili inatizama Makonda amenunua nini badala ya kuangalia kama anatimiza majukumu yake kuwatumikia wananchi ujue kichwani hakuko Sawa.. tunaongelea CCM hapa wewe unaleta chuki zako kwa Makonda na Sabaya.. hata hivyo mbona hutaji hayo Mazur wanayofanya kwa nchi? wewe mangapi umefanya yenye faida kwa hata jirani zako?
Ilo linajulikana balibabambonahiBashiru siyo raia halali wa Tanzania. Anatamani nchi iingizwe kwenye machafuko ya lazima ili akimbilie nchini kwake Rwanda.
Sasa hata ukaguzi makini hatutaki mana kuna ile 1.5 tr mpaka leo hakuna majibu zaidi ya zile hesabu za slowslow. Ccm na wizi ni mapacha ukiachilia mbali swala lao jipya la kupoteza/kiteka raia.Mazoea ya kuendesha chama kiswahili yaliishia 2015, CCM iko kwny ukurasa mpya..
Tunajadili thread iliyoletwa hapa? au clip unayosema wewe..Nimekuuliza uliangalia clip na nini maana ya Makonda style, hujajibu unaanza mengine! Narudia nini maana ya Makonda style?
Mwizi ni mwizi tu ata awe nani , sasa inashangaza kumlinganisha Bashiru na wezi acha izo weweKwenye demokrasia Na sayansi ya siasa huwezi fananisha kinana Na bashiru.utakuwa unaumwa.bashiru Ni kinda
Haa umenikumbusha kwenye kitabu changu cha ujasiliamali nimeamdika hivi 'in entrepreneurship we learn how to do business not about businesses'Bashiru Ali ni Mwalimu wa Political Science lakini SIYO POLITICIAN.
Mi nilidhani ni fani yake ni Kiswahili!Bashiru Ali ni Mwalimu wa Political Science lakini SIYO POLITICIAN.
Nadhani angefaa kupewa wadhifa BAKITA kuliko katibu mkuu wa CCM
Nani kakuambia kamba Bashiru siyo Mwizi? wanatofautiana kile wanachoiba, lakini wote ni wezi tuMwizi ni mwizi tu ata awe nani , sasa inashangaza kumlinganisha Bashiru na wezi acha izo wewe