Dr. Bashiru Ally sio mwanasiasa ni mnunuzi na mkomunisti asiyependa demokrasia

Katika mambo mengi ambayo Mwl Nyerere aliyatabiri ama kuyagusia ktk hotuba zake nyingi zenye msisimko, zilizosheheni nondo za fikra pevu, hekima na busara, ni jambo moja kubwa ambalo bado halijatimia kwa ukamilifu. Nalo ni upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM yenyewe. Jambo hili linaonyesha kwa dhahiri likitimia sasa ndani ya utawala wa Mwenyekiti na Katibu Mkuu waliopo madarakani wa chama hiki kikongwe barani Afrika na hapa Tanzania, huku makada wake wakiwa hawajali tena wanaishi kwa mazoea kwa mbeleko ya vyombo vya dola na huku pia wamelala fofofo na udenda ukiwashuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kumchafua Daktari wewe , uwizi wenu huko huko
mipango yote ya wizi na uporaji katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita, Bashiru anawajibika kwa mujibu wa cheo chake, au alitakiwa ajiuzulu. Mafisadi wote ni kutoka CCM kwa ujumla, sababu wao ndio wanadhamana ya kodi za watanzania. CCM ni chama cha mafisadi, hivyo katibu mkuu hawezi kukwepa kuwajibika. mwizi ni mwizi tu hata kama ni Daktari au profesa
 
Thibitisha ufisadi wa Bashiru acha kutoa lawama kama mke mdogo wewe, unafikiri ukisusa wenzio nao watasusa acha kupoteza mda
 
Kwahiyo?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BASHIRU ALI NI MWEHU, MSHAMBA NA MLEVI WA MADARAKA!
 
Bashiru Ally na polepole walizoea kuendesha biashara ya human trafficking, sasa hapa kwenye utumishi wa umma sijui watakuwa wananunua wafanyakazi wa sekta binafsi na kuwaleta serikalini au wanafanyaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…