Tetesi: Dr Bashiru Makamu Mwenyekiti Bara

CCM wanajitafuta, walivyomtukana Leo hii watamshangilia, kiwango cha unafiki kinatisha
 
Akirudi Bashiru basi CCM kumewaka moto maana huyo walikuwa hawapikiki wakaiva na JK
 
Pinda
 
Ile ulikuwa kupanic baada ya msiba. Ule msiba ulikuwa mzito.
 
Bashiru hawapatani na Kikwete pia
 
mnemkosesha huo ulaji
 
Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bashiri kuwepo uraiani tu Mganga wake itakuwa alifanya kazi iliyozidi Tambiko la Bagamoyo la kina Sheikh Yahya na Forojo Ganze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…