Kaka nipo hapa,sioni Bashiru akiwa makamu kwa sababu zifuatazo.
1.Makuzi yake ndani ya Chama
Bashiru hajakulia chamani aliokotwa tu pale UD akapachikwa na JPM.Kwakua hakukua na uhuru ilibidi wakubali.
2.Kukubalika kwa Bashiru na Samia pamoja na wenyeviti CCM mikoa.
Kutokana na hali ya Chama sasa Samia inabidi apendekeze majina ya watu ambao watapigiwa kura na kamati kuu NEC wale 25.
Hii itamfanya aweze kufanya kazi na watu na tawala za mikoa za kichama.
Bashiru ataleta masuko mkubwa sana kwa Chama.
Lasivyo Chama kitapata shida,Wapo wazee wengi wanao kubalika kichama na heshima yao ni kubwa.Kuna Olesendeka,Anton Dialo,Mwakyembe,Geogre Mkuchika na wengine wengi