Tetesi: Dr Bashiru Makamu Mwenyekiti Bara

Heshima sana wanajamvi,

Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Msaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.

Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.

Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.

Ngongo kwasasa Harare.
Kinana hiyo demotion ya cheo cha kijeshi aliipata lini?

Maana mpaka anastaafu alikuwa na cheo cha Col.

Sasa iko cheo alikuja kung'olewa baada ya kustaafu?
 
Hizi sarakasi za kutuingiza kingi watu wa Kanda ya Ziwa haziwezi kufanya kazi. Tumekwisha fanya maamuzi yetu kuwa hatudanganyi,bado hatujasahau machungu yetu. Hata kama wizi wa kura utafanyika lakini tutafanya kile kilicho wajibu wetu wa kusema hapana kwenye sanduku la kura.
 
Nikikumbuka zile picha za mwanzo mwanzo baada ya Samia kuapishwa kuwa Rais kuna moja Kakurwa alikuwa anamuangalia kwa woga Rais na kuna stori nyuma yake kuwa yeye ndiye alikuwa kinara kupinga asiapishwe, na hii habari kama ni kweli ndiyo uthibisho wa ile kauli kuwa kwenye siasa hakuna adui wa kudumu, bali kuna malengo ya kudumu na malengo ya CCM ni kuendelea kushika dola.
Kaka nipo hapa,sioni Bashiru akiwa makamu kwa sababu zifuatazo.

1.Makuzi yake ndani ya Chama
Bashiru hajakulia chamani aliokotwa tu pale UD akapachikwa na JPM.Kwakua hakukua na uhuru ilibidi wakubali.

2.Kukubalika kwa Bashiru na Samia pamoja na wenyeviti CCM mikoa.
Kutokana na hali ya Chama sasa Samia inabidi apendekeze majina ya watu ambao watapigiwa kura na kamati kuu NEC wale 25.
Hii itamfanya aweze kufanya kazi na watu na tawala za mikoa za kichama.
Bashiru ataleta masuko mkubwa sana kwa Chama.

Lasivyo Chama kitapata shida,Wapo wazee wengi wanao kubalika kichama na heshima yao ni kubwa.Kuna Olesendeka,Anton Dialo,Mwakyembe,Geogre Mkuchika na wengine wengi
 
Kaka nipo hapa,sioni Bashiru akiwa makamu kwa sababu zifuatazo.

1.Makuzi yake ndani ya Chama
Bashiru hajakulia chamani aliokotwa tu pale UD akapachikwa na JPM.Kwakua hakukua na uhuru ilibidi wakubali.

2.Kukubalika kwa Bashiru na Samia pamoja na wenyeviti CCM mikoa.
Kutokana na hali ya Chama sasa Samia inabidi apendekeze majina ya watu ambao watapigiwa kura na kamati kuu NEC wale 25.
Hii itamfanya aweze kufanya kazi na watu na tawala za mikoa za kichama.
Bashiru ataleta masuko mkubwa sana kwa Chama.

Lasivyo Chama kitapata shida,Wapo wazee wengi wanao kubalika kichama na heshima yao ni kubwa.Kuna Olesendeka,Anton Dialo,Mwakyembe
Nakubaliana na wewe Kakurwa hana mizizi kabisa ndani ya CCM yule alichukuliwa kutoka CUF akiwa mhadhiri UDSM.
 
Suala lililopo ubaoni sio Nani ana uzoefu ndani ya Chama bali nani anaweza kumsaidia Mwenyekiti dhidi ya wale anaowaona kama ni kipingamizi kwake ndani ya Chama katika kinyang’anyiro kijacho !

Ni lazima apange safu yake anayoiamini !!
 
Samia anamuamini Bashiru Ally kweli??? Anaweza kufanya hivyo kujaribu ku win suuport ya watu wa Kanda ya Ziwa na wale Pro Magufuli tu.
 
Suala lililopo ubaoni sio Nani ana uzoefu ndani ya Chama bali nani anaweza kumsaidia Mwenyekiti dhidi ya wale anaowaona kama ni kipingamizi kwake ndani ya Chama katika kinyang’anyiro kijacho !

Ni lazima apange safu yake anayoiamini !!
Akifanya hivyo kwa kupanga safu yake kichama ataangukia pabaya.
Anachotafuta samia ni kuungwa mkono ndani ya Chama na watu wenye nguvu

Binafsi huwa sioni kazi ya Ridhiwani Kikwete katika nafasi zake alizoteuliwa.Karata aliyoicheza mama ni kumpandisha Ridhiwani baada ya kuwafurusha January na Nape ,Hapo amepata Kinga ya Mzee kikwete.Nice move kwa Mama.
Sasa kuungwa mkono kichama anatakiwa awapate hawa wenyeviti wa mikoa wa CCM.
Hawa Ndio wanatoa picha ya Nani awe Makamu,Kama hakubaliki na hawa mama atafanya kazi yake kuwa Ngumu sana,
Kumbuka tunaelekea uchaguzi serikali za Mitaa Hapo November.
 
Heshima sana wanajamvi,

Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Msaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.

Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.

Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.

Ngongo kwasasa Harare.
Ukiona hivyo ujue wanajiandaa kutangaza taarifa za kifo
 
Heshima sana wanajamvi,

Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Msaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.

Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.

Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.

Ngongo kwasasa Harare.
Hivi Dkt. Nadhiru Ali Kakurwa ana lipi jipya??
 
Back
Top Bottom