Tetesi: Dr Bashiru Makamu Mwenyekiti Bara

Tetesi: Dr Bashiru Makamu Mwenyekiti Bara

Nikikumbuka zile picha za mwanzo mwanzo baada ya Samia kuapishwa kuwa Rais kuna moja Kakurwa alikuwa anamuangalia kwa woga Rais na kuna stori nyuma yake kuwa yeye ndiye alikuwa kinara kupinga asiapishwe, na hii habari kama ni kweli ndiyo uthibisho wa ile kauli kuwa kwenye siasa hakuna adui wa kudumu, bali kuna malengo ya kudumu na malengo ya CCM ni kuendelea kushika dola.
Ccm wanajuana hukaa mezani nakumaliza tofauti zao bashiru kama tetesi Huenda akavaa viatu vya kinana maana mama anajuwa kundi la vijana wa mjini limemkalia kooni sasa ameamua aende na kundi AMBALO alifanya nalo kazi tangu akiwa makamu wa raisi , hili kundi kwake NI sahihi hata kundi lile alilolimwaga lilimtisha wakati anaanza safari yake ya ukuu wa nchi , na kumpa maneno ya uongo kuhusu kundi Hilo la sukuma gang ikapelekea kutoliamini ! Amekuja kushituka sasa hivi kuwa alifanya makosa makubwa na hata kwa kasimu majaliwa aliambiwa NI threat kwake kumbe hamna , kwa sasa ameshituka amejuwa Sura zao kinana na kundi lake ,

Na mama hataki ccm ya makundi alishakataa wao wanatengeneza makundi tena kwa kutoa Hadi r..ho za watu ,NI hatari Sana kundi Hilo kwa ustawi wa taifa letu.
 
Kaka nipo hapa,sioni Bashiru akiwa makamu kwa sababu zifuatazo.

1.Makuzi yake ndani ya Chama
Bashiru hajakulia chamani aliokotwa tu pale UD akapachikwa na JPM.Kwakua hakukua na uhuru ilibidi wakubali.

2.Kukubalika kwa Bashiru na Samia pamoja na wenyeviti CCM mikoa.
Kutokana na hali ya Chama sasa Samia inabidi apendekeze majina ya watu ambao watapigiwa kura na kamati kuu NEC wale 25.
Hii itamfanya aweze kufanya kazi na watu na tawala za mikoa za kichama.
Bashiru ataleta masuko mkubwa sana kwa Chama.

Lasivyo Chama kitapata shida,Wapo wazee wengi wanao kubalika kichama na heshima yao ni kubwa.Kuna Olesendeka,Anton Dialo,Mwakyembe,Geogre Mkuchika na wengine wengi
Hakuna kukulia chamani na hayupo mwana ccm wakumunyooshea vidole bashiru WOTE wameoza kupitia Mali za chama, waangalie wakina bulembo na kundi lake la jk jina la bashiru NI threat kwao.
 
Akifanya hivyo kwa kupanga safu yake kichama ataangukia pabaya.
Anachotafuta samia ni kuungwa mkono ndani ya Chama na watu wenye nguvu

Binafsi huwa sioni kazi ya Ridhiwani Kikwete katika nafasi zake alizoteuliwa.Karata aliyoicheza mama ni kumpandisha Ridhiwani baada ya kuwafurusha January na Nape ,Hapo amepata Kinga ya Mzee kikwete.Nice move kwa Mama.
Sasa kuungwa mkono kichama anatakiwa awapate hawa wenyeviti wa mikoa wa CCM.
Hawa Ndio wanatoa picha ya Nani awe Makamu,Kama hakubaliki na hawa mama atafanya kazi yake kuwa Ngumu sana,
Kumbuka tunaelekea uchaguzi serikali za Mitaa Hapo November.
Hiyo ni point kubwa 🙌👍
 
Ccm wanajuana hukaa mezani nakumaliza tofauti zao bashiru kama tetesi Huenda akavaa viatu vya kinana maana mama anajuwa kundi la vijana wa mjini limemkalia kooni sasa ameamua aende na kundi AMBALO alifanya nalo kazi tangu akiwa makamu wa raisi , hili kundi kwake NI sahihi hata kundi lile alilolimwaga lilimtisha wakati anaanza safari yake ya ukuu wa nchi , na kumpa maneno ya uongo kuhusu kundi Hilo la sukuma gang ikapelekea kutoliamini ! Amekuja kushituka sasa hivi kuwa alifanya makosa makubwa na hata kwa kasimu majaliwa aliambiwa NI threat kwake kumbe hamna , kwa sasa ameshituka amejuwa Sura zao kinana na kundi lake ,

Na mama hataki ccm ya makundi alishakataa wao wanatengeneza makundi tena kwa kutoa Hadi r..ho za watu ,NI hatari Sana kundi Hilo kwa ustawi wa taifa letu.
Kabisa ! 🙌🙏
 
Heshima sana wanajamvi,

Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Msaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.

Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.

Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.

Ngongo kwasasa Harare.
Kama hii itakua ni kweli basi tunaishi kpnd ambacho siasa kweli imefanywa Tanzania, what a great time to be alive
 
Ummí ndo makamu wa mwenyekiti ccm Tanzania Bara chukua kutoka kwangu
 
Watanzania tuamke sasa tudai nchi yetu kutoka kwenye mikono ya kikundi cha watu.
 
Tuliowapa mamlaka ya kutufanyia kazi wamegeuka wamiliki wa nchi na muda mwingi wanautumia kupanga namna ya kuendelea kututawala na kula tu.

Matokeo yake sasa imefanya wenyewe kwa wenyewe kuwa na vikundi vinavyoshindana kutafuta ulaji (rivals cartel), Kila mtu ameside kwenye cartel yake kulingana na namna anavyoona, Kila mipango inayopangwa sasa ni kutafuta namna ya kujilinda na kushinda vita na sio kutumikia wananchi.

Wananchi tunapaswa kuamka sasa na kudai nchi yetu kutoka kwenye mikono ya maharamia.
 
Heshima sana wanajamvi,

Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Msaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.

Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.

Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.

Ngongo kwasasa Harare.
Hivi Bashiru ana ushawishi upi Kanda ya Ziwa? Yaani ni bora akateuliwa Msukuma kuliko Bashiru
 
Siasa hiyo mkuu Leo maadui Kesho marafiki wanasiasa hawaaminiki
 
images.jpeg-90.jpg
 
Haiwezekani.
Yeye ndiye aliyekuwa Katibu Mkuu katika ule Uchaguzi ambao Wapinzani walipata kiti kimoja tu.
 
Heshima sana wanajamvi,

Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Msaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.

Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.

Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.

Ngongo kwasasa Harare.
Sasa rasmi ligi ya Boyz2men na Iron lady bado kipyenga tu.
 
Nilidhani labda zali lime muangukia pisi kali malaya kumbe hola tena 💩💩💩💩
 
Back
Top Bottom