RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Ccm wanajuana hukaa mezani nakumaliza tofauti zao bashiru kama tetesi Huenda akavaa viatu vya kinana maana mama anajuwa kundi la vijana wa mjini limemkalia kooni sasa ameamua aende na kundi AMBALO alifanya nalo kazi tangu akiwa makamu wa raisi , hili kundi kwake NI sahihi hata kundi lile alilolimwaga lilimtisha wakati anaanza safari yake ya ukuu wa nchi , na kumpa maneno ya uongo kuhusu kundi Hilo la sukuma gang ikapelekea kutoliamini ! Amekuja kushituka sasa hivi kuwa alifanya makosa makubwa na hata kwa kasimu majaliwa aliambiwa NI threat kwake kumbe hamna , kwa sasa ameshituka amejuwa Sura zao kinana na kundi lake ,Nikikumbuka zile picha za mwanzo mwanzo baada ya Samia kuapishwa kuwa Rais kuna moja Kakurwa alikuwa anamuangalia kwa woga Rais na kuna stori nyuma yake kuwa yeye ndiye alikuwa kinara kupinga asiapishwe, na hii habari kama ni kweli ndiyo uthibisho wa ile kauli kuwa kwenye siasa hakuna adui wa kudumu, bali kuna malengo ya kudumu na malengo ya CCM ni kuendelea kushika dola.
Na mama hataki ccm ya makundi alishakataa wao wanatengeneza makundi tena kwa kutoa Hadi r..ho za watu ,NI hatari Sana kundi Hilo kwa ustawi wa taifa letu.