Tetesi: Dr Bashiru Makamu Mwenyekiti Bara

Dr. Bashiru akikubali uteuzi huo ujue mjinga. Alipotenguliwa ukatibu mkuu alitukanwa kila aina ya matusi na wanaccm, mara aitwe CUF, mara aitwe msaliti, n.k.
 
Kuitwa CUF
Ni hiyo huyo ila Kabla ya kuwa hapo Bashiru alikua CUF na mkufunzi UDSM.Pia alikua mchambuzi mzuri wa siasa za Tanzania

Magu akambeba hivyo hivyo na kumpa cheo watu hawakuweza kuhoji sababu aliendesha chama kwa kauli ya ndio mzee
Hayati mrema alikuwa nccr ukilijua hilo uwezi kushangaa
 
Heshima sana wanajamvi,

Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.

Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.

Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.

Ngongo kwasasa Harare.
Tulisema Msigwa ni garasha hamku tuelewa.
Sasa ili waonekane wana watu badala ya kuelezea kilicho wapeleka kanda ya ziwa, wameona wadanganye watu wana uchungu na Lissu hivyo wamchangie pesa za matengenezo ya gari.
Kumbuka Msigwa huhy huyu ndie alie kwenda kwa Lissu na Abdul wakiwa na kapu la pesa za hongo
 
Kutambua mali za Chama hakuwa peke yake,na Mzee alimuweka pale kama kinyago kuwatisha wazoefu wa CCM.

Huyu bwana hakuwa ndani ya Mfumo kabisa wa CUF wala maamuzi.

Magu kumteua kama katibu mkuu haimaanishi ni mtu sahihi sababu hata kipindi hiko veting haikufanyika kisawa sawa.
Hebu niambie Bashiru atasimama na Mwenyekiti gani wa CCM mkoa?

KWa sasa mwenyeji wa Samia ndani ya Chama ni MH Kikwete.Samia mi mgeni tu mgeni kabisa na hajui kona kona za Chama na fitna zake.

Kumbuka kuondoka kwa Kinana hakukua kwa wakati mzuri na hatujui nini kimetokea huko.
 
Huu ni wakati mgumu kuliko ule wakati wa march 2021
 
Timu Jiwe inarudi kwa kasi ya SGR; sasa wenzetu ile timu msoga naona mikono shavuni.

Utamu wa ngoma kupokezana sheikh
 
Aaah we huijui CCM kumbe,ukimuona Bashiru pale naacha kujasili siasa za Tz
Wewe humjui Bashiru hata kidogo.Huyu mtie daraja moja na Zitto walikuwa upinzani kwa kazi maalumu.
 
Sahihi

Mkumbushe kuna DC mpya alipotoka mwanamitindo na msanii wa hip hop kabla, alifanya kazi lumumba then alikuwa jumba jeupe(mwandamizi) baadae DC kwenye wilaya K.
 
Heshima sana wanajamvi,

Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.

Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.

Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.

Ngongo kwasasa Harare.
Ikiwa ni kweli, basi level ya siasa zetu ilipofika imeshindikana. Very complicated
 
Kutambua mali za Chama hakuwa peke yake,na Mzee alimuweka pale kama kinyago kuwatisha wazoefu wa CCM.

Huyu bwana hakuwa ndani ya Mfumo kabisa wa CUF wala maamuzi.

Magu kumteua kama katibu mkuu haimaanishi ni mtu sahihi sababu hata kipindi hiko veting haikufanyika kisawa sawa.
Hebu niambie Bashiru atasimama na Mwenyekiti gani wa CCM mkoa?

KWa sasa mwenyeji wa Samia ndani ya Chama ni MH Kikwete.Samia mi mgeni tu mgeni kabisa na hajui kona kona za Chama na fitna zake.

Kumbuka kuondoka kwa Kinana hakukua kwa wakati mzuri na hatujui nini kimetokea huko.
mwacheni kinana apumzike, mie niko la kwanza yeye ni mstaafu wa jeshi namie nimeshaafu mwaka jana
 
Heshima sana wanajamvi,

Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.

Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya Ziwa ili kujiakikishia kura za kutosha.

Sasa ni wazi mkakati wa kukisambaratisha kile chama kilichoshindikana kusambaratishwa kupitia Mch asiye na kanisa umeshindikana kabisa.Mch anaokena kituko na kichekesho.

Ngongo kwasasa Harare.
Ni bora iwe hivyo.
 
Back
Top Bottom