johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mambo gani ambayo leo hujiamulii?!!!Natamani kuiona kesho ambayo watanzania tutajiamulia mambo yetu wenyewe!
Kwani huo siyo ubunifu?!Kwa hiyo anamaanisha kuwa baada ya watendaji kufunga ofisi kuwazuia wapinzani kuchukua form wanaofuata kufunga ofisi kuzuia wapinzani kuchukua form ni wakurugenzi.
Endelea kukariri bwashee!Huyo Katibu Mkuu Dkt Bashiru anaongea hayo hata aibu hana?
Hivi atawezaje kujivunia huo ushindi wa asilimia 99 wa uchaguzi wa serikali za mitaa, wakati hata mtoto mdogo anayesoma chekechea anajua kuwa nyinyi masisiem mlifanya wizi mkubwa sana katika huo mnaouita uchaguzi wa serkali za mitaa?
Utaelewa ifikapo mwezi Octoba bwashee!
Mambo gani ambayo leo hujiamulii?!!!
Kama wewe ni mtanzania mpenda nchi na maendeleo. Likitokea hilo unaloliombea hasara itakuwa ni ya nani?Katibu mkuu wa CCM Dr Bashiru amesema kuwa katika uchaguzi mkuu wa Octoba 2020 CCM itatumia mbinu, mikakati na ubunifu ule ule uliotumika kupata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
Dr Bashiru amesisitiza kuwa yeyote atakayejipendekeza kugombea udiwani, uwakilishi, ubunge au urais kupitia Upinzani atakuwa ni halali ya CCM kwani KUSHINDWA ni demokrasia pia.
Dr Bashiru amesema hayo akiwa ziarani wilayani Korogwe mkoani Tanga
Source: Star Tv Habari
My take: Mnyika na Chadema watapata wakati mgumu sana mwaka huu. Chadema bila mbunge itaandikwa historia mpya.
Maendeleo hayana vyama!
Lipi?Kama wewe ni mtanzania mpenda nchi na maendeleo. Likitokea hilo unaloliombea hasara itakuwa ni ya nani?