Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
ARE YOU THOSE ARE THE TRUE COLOURS OF HIM? PEOPLE SPEAK AT PEOPLE NOT TO PEOPLEKatika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Mtasababisha wampe sumu bureKatika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Na kama kigezo basi awe rais wa Kanisa sio wa nchi au unasemaje mwanangu?Hofu ya Mungu sio kigezo cha uongozi.
Sahihi, kama nchi hatuchagui mchungaji, padri au imamu kuwa kiongozi wetu. Sisi hata kama akiwa mpagani au atheist kama sio fisadi na mpindisha haki anatufaa sana.Na kama kigezo basi awe rais wa Kanisa sio wa nchi au unasemaje mwanangu?
Too sad hawatopewa nafasi hizo, why? Chama walichopo hakina falsafa hizoKatika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Wananchi tunamwamini Mungu hivyo tunahitaji kiongozi wa imani yetu.Hofu ya Mungu ndio upuuzi gani kwenye uongozi wa taifa. Wapi ulisikia Churchill, Washington, Mandela, Anwar Saddat, Deng Xiaoping au kiongozi mwingine aliyefanya makubwa anasifiwa kuwa na hofu ya Mungu.
Hofu yake ya kuchomwa moto wa milele sisi inatuhusu nini? Kwani atheists kina Kiranga hawaruhusiwi kugombea?
Mwenyenzi Mungu amekataza kuua, hawa watu wawili wanaweza kupambana na mauaji ya watu wanaodai hakiSahihi, kama nchi hatuchagui mchungaji, padri au imamu kuwa kiongozi wetu. Sisi hata kama akiwa mpagani au atheist kama sio fisadi na mpindisha haki anatufaa sana.
Wewe umelipwa shs kumpinga pasipo hoja?Amekulipa sh ngapi kuja kumpigia debe?
Kama siyo kigezo jiulize kwanini kila kiongozi lazima aape?Hofu ya Mungu sio kigezo cha uongozi.
Ni mojawapo ya mambo yasiyo na mashiko tuliyorithi kutoka kwa wakoloni wetu Wazungu, lakini pia niliwahi kumsikia Nyerere akisema kuapa sio lazima iwe kwa vitabu vya kidini, hata kuapa kwa Katiba kwa wasioamini Mungu inafaa.Kama siyo kigezo jiulize kwanini kila kiongozi lazima aape?
Thibitisha maneno yako kwa mifano..Katika siasa za Tanzania Dr. Biteko na Majaliwa wanayo nafasi kubwa yakuongoza nchi yetu. Ni viongozi wanaoamini kwenye mabadilishano ya hoja, mabadiliko na mchuano wa fikra.
Wote wana mapungufu yakibinadamu lakini wana mengi mazuri kuliko mabaya. Mwenyenzi Mungu awaepushe na tamaaaaa
Wanarudi kwa Nguvu yote BITEKO BOMAYEEESukuma Gang wakae mbali na Neno Urais. HATUWATAKI HATUWATAKI TUMEWAKATAA