Dr. Cheni akanusha mfungwa Lulu kuonekana Uganda akila bata sikukuu ya Pasaka

Niliona humu JF member mmoja akimtuhumu huyu bwana kummega lulu toka zamani b4 kanumba
 
Mfano Makonda akitoa amri muachie Lulu kuna askari atabisha?
 
Huu uzi ni wa ku-subscribe na kuufuatilia maana naona kuna mwngi yatasemwa
 
Msemaji wa mgereza!
 
We unaongea hisia zako tu!Kuna siku wakina Basil mramba walitokea mahakamani peke yao bila ulinzi wa askari magereza wakati walikuwa ni mahabusu na siku hiyo haikuwa siku ya kesi yao! Hadi Hakimu aliposhtuka na kumuuliza mramba "umetokaje mahabusu mwenyewe?" mramba akamjibu kuwa "nimeomba tu ruhusa mheshimiwa ili nije kuongea na wewe" Hakimu akamtimua!! Kwanza sjui unaongea na nini!!
 
Mfano Makonda akitoa amri muachie Lulu kuna askari atabisha?
Hana huo uwezo bro. Mahakama pekee ndo inauwezo huo au rais kupitia misamaha yake jamani magereza isikieni tu kwanza mnahesaviwa most of the time hii yote ni kutowaamini watuhumiwa na wafungwa
 
Kwani hana wazazi hadi mlezi wa hiari atoe maelezo haya
 
Mbona Wanasema Yupo Karibu Kujifungua Hali Yake Ipo Hoi
 
Labda aliachiwa wikiendi hii ili kuomboleza kifo cha 'the great'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…