ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
HahahahaAtakuambia da mange kasema!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaAtakuambia da mange kasema!
Hamna ndugu yangu kule asikudananye mtu nakwambia sana sana utaambulia kuishi vizuri kulala vzuri basiLabda mbona nasikiaga eti "penye udhia penyeza Rupia"? Au hii haifany kaz gerezan?
Mkuu umeongea point tunaomba huo ushahidi.........Lulu hayupo gerezani, msitufanye sisi wajinga sana tuna ushaidi wa kutosha
Tupe ushahidi mkuu tuoneLulu hayupo gerezani, msitufanye sisi wajinga sana tuna ushaidi wa kutosha
Mfano Makonda akitoa amri muachie Lulu kuna askari atabisha?Unajua watu ambao hawajawahi kukaa gerezani huwa wanadanganyana sana tena sana. Yani hakuna asikari wasio aminiana kama wa magereza na hakuna asikari magereza anae mwamini mfungwa hata uwe mpole na mstarabu kiasi gani.gerezani mfungwa anatoka na asikari nje dakika tatu nyingi ukirudi lazima usachiwe.leo ndo wamuache lulu akasherekee sikukuu uganda!!! Wakina ruge wako pale basi wangekuwa wanalala hotel kama ingekuwa ni rahisi. Jamani asiwadanganye mtu hata uwe na pesa kiasi gani ukishangia gerezani umeingia sana sana utapewa magodoro mazuri kama matatu ya kuungamisha kulalia.
Msemaji wa mgereza!Mlezi wa hiyari wa msanii Elizabeth Michael aka Lulu amekanusha bint yake kuonekana katika viunga vya Kampala Uganda akila bata wakati wa Pasaka. Dr Cheni amewataka waandishi kumtembelea Lulu gerezani ambako watamkuta amejaa tele akiendelea kutumikia adhabu yake ya miaka mitatu gerezani. Source Eatv!
We unaongea hisia zako tu!Kuna siku wakina Basil mramba walitokea mahakamani peke yao bila ulinzi wa askari magereza wakati walikuwa ni mahabusu na siku hiyo haikuwa siku ya kesi yao! Hadi Hakimu aliposhtuka na kumuuliza mramba "umetokaje mahabusu mwenyewe?" mramba akamjibu kuwa "nimeomba tu ruhusa mheshimiwa ili nije kuongea na wewe" Hakimu akamtimua!! Kwanza sjui unaongea na nini!!Unajua watu ambao hawajawahi kukaa gerezani huwa wanadanganyana sana tena sana. Yani hakuna asikari wasio aminiana kama wa magereza na hakuna asikari magereza anae mwamini mfungwa hata uwe mpole na mstarabu kiasi gani.gerezani mfungwa anatoka na asikari nje dakika tatu nyingi ukirudi lazima usachiwe.leo ndo wamuache lulu akasherekee sikukuu uganda!!! Wakina ruge wako pale basi wangekuwa wanalala hotel kama ingekuwa ni rahisi. Jamani asiwadanganye mtu hata uwe na pesa kiasi gani ukishangia gerezani umeingia sana sana utapewa magodoro mazuri kama matatu ya kuungamisha kulalia.
Hana huo uwezo bro. Mahakama pekee ndo inauwezo huo au rais kupitia misamaha yake jamani magereza isikieni tu kwanza mnahesaviwa most of the time hii yote ni kutowaamini watuhumiwa na wafungwaMfano Makonda akitoa amri muachie Lulu kuna askari atabisha?
TANGIA KIPINDI KILE YUPO MAHABUSU ALIKUWA HAKAI NDANI WEEKEND.Mmhh!kumbee?!!
Aiseeeh!hyo niliwahi kuiskia na hata hii ya kutoka weekend ni possible coz anything is possible under the sun!TANGIA KIPINDI KILE YUPO MAHABUSU ALIKUWA HAKAI NDANI WEEKEND.
Duuu[emoji15] mbna nilimuona !!
Yuko wapiLulu hayupo gerezani, msitufanye sisi wajinga sana tuna ushaidi wa kutosha
Wa picha au nyaraka?Lulu hayupo gerezani, msitufanye sisi wajinga sana tuna ushaidi wa kutosha