Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Na Hamida Hassan
STAA wa Bongo Movies, Mahsein Awadh Dk. Cheni hivi karibuni alifunguka kuwa hawezi kumtenga msanii mwenzake Elizabeth Michael Lulu anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya Steven Kanumba kwa vile yeye ndiye aliyemuingiza katika tasnia ya filamu akiwa mdogo.
Akipiga stori na safu hii, Cheni alisema amekuwa karibu na familia ya msanii huyo toka mwanzo wa matatizo na hatakaa mbali mpaka atakapojua hatima yake.
Cheni alisema amekuwa akimtembelea Lulu kila Jumapili na kila mama yake anapohitaji msaada huwa yuko mstari wa mbele kumsaidia.
Mbali na hayo msanii huyo alisema anawaomba Watanzania wasubiri hitimisho la mahakama wasimuhukumu na kumchukia kabla ya kujua ukweli
Hata hivyo, Cheni alisema anamkumbuka marehemu Kanumba kwani licha ya urafiki ndiye aliyekuwa best man kwenye ndoa yake.
[h=2][/h]