Dr. Cheni; Siwezi Kumtenga Lulu

Dr. Cheni; Siwezi Kumtenga Lulu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Na Hamida Hassan

1190956826_cheni.jpg

STAA wa Bongo Movies, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ hivi karibuni alifunguka kuwa hawezi kumtenga msanii mwenzake Elizabeth Michael ‘Lulu’ anayekabiliwa na kesi ya mauaji ya Steven Kanumba kwa vile yeye ndiye aliyemuingiza katika tasnia ya filamu akiwa mdogo.

Akipiga stori na safu hii, Cheni alisema amekuwa karibu na familia ya msanii huyo toka mwanzo wa matatizo na hatakaa mbali mpaka atakapojua hatima yake.

Cheni alisema amekuwa akimtembelea Lulu kila Jumapili na kila mama yake anapohitaji msaada huwa yuko mstari wa mbele kumsaidia.

Mbali na hayo msanii huyo alisema anawaomba Watanzania wasubiri hitimisho la mahakama wasimuhukumu na kumchukia kabla ya kujua ukweli

Hata hivyo, Cheni alisema anamkumbuka marehemu Kanumba kwani licha ya urafiki ndiye aliyekuwa ‘best man’ kwenye ndoa yake.

[h=2][/h]
 
ataanzaje kumtenga ikiwa kwamba yeye ndo kamtoa bikra!
 
hivi una cheo gani hapa jf?manake una dictate sana mara mnajaza server!usipende kusemea watu kama hujapenda story achana nayo au kama amevunja sheria report basi!kama una watoto watakua wana shida sana kuwa na baba design yako.

Hivi inaonyesha kwamba humjui Mkubwa Matola. Atakupoteza, chunga sana.
 
Last edited by a moderator:

Nimepitia dakika kadhaa tu nikaona anajifanya yeye ndiye moderator....
 
Hivi inaonyesha kwamba humjui Mkubwa Matola. Atakupoteza, chunga sana.

namfahamu hizi tabia zake za kutafutia watu ban lakin hawezi achwa anaboa sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom