4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Wana wa Mungu JF , amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imaniyake popote mlipo.
Yupo uyu Bwana mkubwa Dr Nchimbi kwa kujiuzulu hali ya hewa katika mitandao ya kijamii imechafuka balaa.
Ccm mmekwisha maana uyu wenda angesaidia sana tuliza hali ya nchi mngempa ushirikiano ila ndo hivyo.
Angejiuzulu SSH sidhani kama watz ingekua story kubwa why ni kwamba wamekataa ,
Ndugai alijuzulu haikua story kubwa .
MAJALI PIA haikua story kubwa why Dr nchimbi ? May be alisha anza ingia nyoyo za watz na kama ndivyo mnachomokaje nyie maccm.?
Sasa ndo mjue Chadema ni Mpango wa Mungu kila mkijaribu hujuma kinawalamba
Thanks