4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Na ndo mtego uliopoMara par, Nchimbi akajiunga Chadema!
Naunga mkono hoja yako, sahihi kabisaCCM ipo kwa sababu Kuna JWTZ na Polisi, siku Hawa wakikaa pembeni CCM wepesi sana.
Dr Chimbi ndio nani?Wana wa Mungu JF , amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imaniyake popote mlipo.
Yupo uyu Bwana mkubwa Dr Nchimbi kwa kujiuzulu hali ya hewa katika mitandao ya kijamii imechafuka balaa.
Ccm mmekwisha maana uyu wenda angesaidia sana tuliza hali ya nchi mngempa ushirikiano ila ndo hivyo.
Angejiuzulu SSH sidhani kama watz ingekua story kubwa why ni kwamba wamekataa ,
Ndugai alijuzulu haikua story kubwa .
MAJALI PIA haikua story kubwa why Dr nchimbi ? May be alisha anza ingia nyoyo za watz na kama ndivyo mnachomokaje nyie maccm.?
Sasa ndo mjue Chadema ni Mpango wa Mungu kila mkijaribu hujuma kinawalamba
Thanks
Acha maneno meeeeeengi. Mchukueni kwenye vyama vyenu vyengine ili awabebe muone kama mtashika Dola 2030!Wana wa Mungu JF , amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imaniyake popote mlipo.
Yupo uyu Bwana mkubwa Dr Nchimbi kwa kujiuzulu hali ya hewa katika mitandao ya kijamii imechafuka balaa.
Ccm mmekwisha maana uyu wenda angesaidia sana tuliza hali ya nchi mngempa ushirikiano ila ndo hivyo.
Angejiuzulu SSH sidhani kama watz ingekua story kubwa why ni kwamba wamekataa ,
Ndugai alijuzulu haikua story kubwa .
MAJALI PIA haikua story kubwa why Dr nchimbi ? May be alisha anza ingia nyoyo za watz na kama ndivyo mnachomokaje nyie maccm.?
Sasa ndo mjue Chadema ni Mpango wa Mungu kila mkijaribu hujuma kinawalamba
Thanks
Mgonjwa mahututi kwenye life support ya jeshi na polisi.CCM ipo kwa sababu Kuna JWTZ na Polisi, siku Hawa wakikaa pembeni CCM wepesi sana.