Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
😃😂😂😂Aisee kumbe kuna ke mnatumia hizo chogo zenu vizuri kabisa.
Kuna mmoja nlikua natarajia awe mke ila amenidisappoint kwa majibu yake.
Yeye anachoamini ni kua mwanaume ndo anatakiwa kuprovide no matter what, hata yeye akiwa na kibunda na Me ukawa huna kitu, basi atakusubiri wewe Me uinuke uendelee kuprovide, nenda kafanye kibarua chochote yeye na wanae wale 😂😂.
Kataa ndoa nyuma ya keyboard wanaushindi mnono...Once Again Kataa Ndoa Wameshinda Ushindi Mnono
🤒🤒🤒, Zaidi Zaidi watamaliza tu wino, pamoja na matumizi mabaya ya makaratasi....Waongeze hata vitabu 600 vingine
Amna guarantee utazeeka.Kataa ndoa nyuma ya keyboard wanaushindi mnono...
Ki uhalisia mwanaume hawez kuishi bila mwanamke maisha yake yote....labda km wanakataa hizo karatasi za kifungo cha ndoa.
Jeuri ya afya, pesa na nguvu walizonazo sasa hv ndo zinawadanganya...wacha wagonge 50 tuone km hawajatafta hata singo mm wasogeze maisha
Naam mkuu, tatizo watu hatutaki kuambiwa ukweli Kuna watu wanakufa kwa stress kwa sababu zimewajaa kifuani, ukifuatilia zaidi chazo Ni :-Sikupingi mwamba. End of story
Ni maamuzi yako...uishi km utakufa kesho au kinyume chake...Amna guarantee utazeeka.
Sheria ya wapi hii?unapokaa na mtu wa jinsia ya tofauti kwenye nyumba yako zaidi ya siku 90 mkiwa na mahusiano ya kindoa basi inakuwa mmeona.
Huwa nawashangaa sana na kuwaonea pia Huruma wale Wanaume wanaohangaika kutaka Kuoa. Sioi leo wala Kesho.Skuizi hakuna mahaba ndio maana ndoa nyingi zinavunjika
Hakuna amri ya ndoa, hebu lete reference.Bila ndoa mwanamke hawezi kuishi kwa amani . Ndoa ni amri kwa mwanaume yeyote mwenye mwili.
Ndoa ni tendo
Naunga mkono hojaHuwa nawashangaa sana na kuwaonea pia Huruma wale Wanaume wanaohangaika kutaka Kuoa. Sioi leo wala Kesho.
Ila unakuta pia na yeye anafanya kazi hivyo basi anajaribu namna ya kufanya uwepesi asitingwe na kazi nyingi, atoke kazini na bado akupikie, akupigie pasi nguo zako za kesho kazini, sijui akuandalie nini la lele. Kweli Ndoa ni tafrani ila pia mida imebadilika maisha ya zamani haswa ya ndoa yakiwa implemeneted sasa hio ndoa itakuwa ina issues zake. kila maisha yanaissue zake ila way to deals with it huwa tofauti ataukiwa mwenyewe utajikuta upo kwenye hali tafrani kwa vitu vidogo vidogo tuKwani siku hizi wanawake wanafanya hata hizo kazi kama sehemu ya wajibu wao basi?!!! Mmmh! Wanataka ama wanalazimisha wanaume wawasaidie kazi za nyumbani, mambo yakiwa mengi wanaomba kuletewa msaidizi wa kazi za nyumbani.... Maisha ya ndoa nowadays ni tafrani tupu
Labda nikuulize tu Dr Lizzy wewe una mchango gani kwenye mahusiano yako ukitoa mchango wa kibailojia?Huwa nikiona kina @Mzee wa kupambania na genge lake wakiuliza wanawake wana nini chaku-offer zaidi ya sex kwenye mahusiano/ndoa nakasirika sana, hata kama vitu vingine walivyoongea ni point 💯 siwapi #LIKE
Lakini hao uliotaja wengi wao baada ya divorce hawekuweza kudumu na u bachelor maana ni mateso sana, walijipatia wenza wapya..Bilget,Jeff Bezo,Elon Musk,Dangote,Magufuli,Samia,Mkapa,Mandela watu wengi tu wa maana kabisa katika hii Dunia ndoa ziliwashinda.
Kuna mwanaume tena proper African man anaweza "chores za kike" kwa muda mrefu bila shida? Mkawa na karatiba kabisa?Ukisema hivyo, basi it is a known fact that men can provide for a longer time more than women bila kuongea chochote! but wanawake watafanya kwa muda mfupi! If someone gives you passion then service is one of the things you can give out as a token of appreciation.
Kidogo upo sahihiUtandawazi na mifumo ya kisheria ya kid uni a.k.a Haki sawa ni vikwazo sana katika ndoa.
95% ya Wanawake wapo kwenye ndoa kwa lengo la kukidhi mahitaji yao na ndugu zake ya kiuchumi.
You have said it all bro.What makes me not want to get married?
I don’t know about most men so I’m gonna speak for myself.
If you remove the desire to procreate and raise a family, why should a man get married? There really isn’t a huge motivation to get married if as a man, you do not desire children. The only other reasons I can think of are sex and companionship.
The challenge with modern relationships is that things have changed yet things still remain the same. Modern women want the best of both worlds. They want to be liberated women who have careers, have their own money and are in control of their lives with no interference from a man. No problem with that, that's all good. However the same women also have old fashioned expectations of men and what a man’s role should be especially when it comes to money. They still want the man to be the provider and responsible for the most if not all the financial responsibilities in the relationship. Quite a few modern women who are employed and earning good money still believe the “my money is my money, your money is our money” thinking. These are the same women who will get offended if you ask them to make you a meal or something like that. You will be labelled as an old fashioned male chauvinist who can’t handle a strong independent woman. For a man, it’s a no-win situation. Your supposed to be old fashioned when it comes to paying bills but new age when it comes to something like taking care of the house, cooking, cleaning etc.
A friend of mine who is in her 40s and unmarried recently posted a Facebook post saying something to the effect that a woman should never help a man pay rent. Doesn’t matter who’s earning more as far as she’s concerned, it’s a man’s responsibility to provide a roof over the family’s head. As a man I have no problem with that, what I do have is when the same woman calls me a chauvinist for asking for dinner. It’s like, there clear rules of what’s expected from a man but very ambiguous rules on what’s expected from a woman in a relationship.
Sex? Nope, only if she feels like it, its her body not yours.
Cooking for you? Nope, her mum used to do that for her dad and she’s not gonna do it for you because she’s liberated and you can damn well cook for yourself.
Cleaning the house? Get a maid you old fashioned chauvinist!
So if a man doesn’t desire kids or doesn’t want a family, getting married has few benefits if any benefits.
Well said, life is all about healthy companionship..Okay mtabishana sana hapa. Ila majibu nyote mtayapata umri ukishaenda. Ambaye hahitaji ndoa atajulikana na ambaye anaihitaji atajulikana.
Ndoa inasababu zake kuwepo na kila mtu mahitaji yake anayotafuta katika ulimwengu wa mapenzi yanapatikana ndani ya ndoa.
Shida ni mafunzo hafifu, background mbovu na kukosa muongozo mzuri ndio imekuwa chanzo kikubwa cha watu kuleta ligi.
Swala la msingi kuelewa ni kwamba ndoa kama biashara ina muda wa kuwekeza na muda wa kuanza kula matunda yake kuanzia hisia, upendo, watoto na umoja wenu.
Wewe kama utaishi kwa hisia negative ujana wako usitegemee mvi zikija utakapotaka utulivu basi yule mwenzako uliyekuwa ukigombana na kurumbana nae automatically atakuwa best friend wako na atakuwa anakutazama kwa uso wa tabasamu vita ni vita mura ataendelea kukupa ulichowekeza.
Kama watoto wako ulilea kwa misingi ya hovyo uzeeni hautakuwa na familia utakuwa wewe kama wewe.
Kwa kifupi ni kwamba, muda wa uwekezaji wa ndoa ni kuanzia miaka 16 hadi 45 au 50 ( kwa mwanamke) na kwa mwanaume ni kuanzia miaka 20 kuendelea.
Huo umri ukiwa ndani ya ndoa mengi hutokea, utapairbond na mwenzako hadi muwe soulmates a.k.a mapacha wa roho na mwili, utazoeana tabia na kuwa synchronous, mtakuwa inseparable, mtajuana nje ndani, mtafanya mambo mengi pamoja, ikifika miaka 50 huyo mwenzako psychologically anakuwa ni nusu yako huwezi ishi bila yeye na utapambana kumuona akiwa hai hautataka atoweke. Na ndio kitu ambacho hakipo miaka hii.
Unalala na mwanamke ameshapigwa pumbu na wanaume 100 maisha yake yote how will you pair bond?
Unalala na mwanaume anaekuona kama chombo cha starehe na mchumia tumbo tu unategemea nini?
Hamna mapenzi mnainterests, huyu anataka pesa huyu anataka kula mzigo, mwisho wa siku mnapoteza muda tu.
Unakuja tafuta mapenzi serious umri umeenda we mwanamke una miaka 30+ unatafuta ndoa ya kazi gani sasa? [emoji23][emoji23][emoji23] Ili ukafanye nini au kujenga kitu gani na ndoa ni agano la kiroho, wewe unaendaje na roho yenye kila aina ya takataka? [emoji848]
Nimesema mwanamke makusudi sababu mwanaume anayonafasi kubwa sana ya kujenga ndoa kuanzia miaka 30 hadi 50. Na anajenga binti mdogo kabisa ambaye hajafika hata 25 na wanaenda fresh mifano ipo mingi sana.
Nitafutie mwanamke wa miaka 30+ ambaye anapata mwanaume asiye majanga ili mradi tu aolewe. Muda ukienda ni tatizo.