Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa: Je, ndoa ni suala la Kisaikolojia? Ni lazima Uoe? Hayo na mengine mengi yamejibiwa hapa, sogea karibu kushiriki mjadala

Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa: Je, ndoa ni suala la Kisaikolojia? Ni lazima Uoe? Hayo na mengine mengi yamejibiwa hapa, sogea karibu kushiriki mjadala

Kuna mwanaume tena proper African man anaweza "chores za kike" kwa muda mrefu bila shida? Mkawa na karatiba kabisa?
Kwani kuna division of labour kwamba chores ni za kike tu!? Is it a must kwamba chores za kike zifanywe na wanawake tu?! Kitu cha msingi ni mtu kucheza part yake pasipo kujisahau! Kuna Wanaume wengi wa kiafrika wanafanya chores za kike bila tatizo.
 
Malezi ya watoto na home management ni chore ya kike kuliko ya kiume, nature imekua hivyo miaka nenda miaka rudi.

Ndio maana mwanaume akilea watoto at the lowest level mf kulisha, kuogesha, kucheza nao and the likes anasifiwa sana sababu sio kitu ambacho kimezoeleka

Pia mwanaume akipika, akifanya usafi ndani and the likes wapo watakaobeza na wapo watakaoona ni jambo jema sababu kiafrica hayo yamezoeleka ni majukumu ya mama either kwa kufanya mwenyewe au kusaidiana na dada wa kazi
 
Wakati mwingine unaona shida kurudi nyumbani kwako na pengini hiyo nyumba ni yako au wewe mwanaume ndio mlipa Kodi wa nyumba.

Unawaza kama nikimuacha huyu mwanamke watoto wangu watalelewa na nani? Umesahau ukifa Leo watoto wako watalelewa kivyovyote tu na mkeo uliemshindwa kumuacha sasa sababu ya uzuri wake au watoto bado ni wadogo anaenda kuolewa na MTU mwingine.

Nashauri kama ukiona mapenzi yameisha Kwa mke wako na watoto bado ni wadogo mwambie hapa tulipofika kila MTU aangalie habari zake nitaendelea kuhudumia watoto wangu Tu lakini Mimi Na wewe basi.Akikataa mwambie nakurudisha nyumbani kwenu na akikataa pia basi mpe TALAKA hapo hapo.

Acha kujiumiza mwanaume mwenzangu.
Kumbuka umeoa lakini kama wazazi unao wote wawili basi wanasubiri hela kutoka Kwa kijana wao.

Ndoa ni utumwa mademu wapo wengi ukiskia kugonga tafuta pisi kula acha alafu endelea na mishe zako lakini usisahau DNA yako (watoto)
 
Katika maandiko ya Mungu/Bible, ndoa sio jambo la lazima.

Ulazima wa ndoa sanasana ni kuepusha uasherati, kwakua hilo nichukizo mbele za Mungu.

Kama unaweza kuzicontrol hisia zako za ngono, na ukaishi bila kutegemea tendo hilo, Biblia inashauli kutoowa/kuolewa ni bora kuliko kuowa/kuolewa.
 
Back
Top Bottom