Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Kwani kuna division of labour kwamba chores ni za kike tu!? Is it a must kwamba chores za kike zifanywe na wanawake tu?! Kitu cha msingi ni mtu kucheza part yake pasipo kujisahau! Kuna Wanaume wengi wa kiafrika wanafanya chores za kike bila tatizo.Kuna mwanaume tena proper African man anaweza "chores za kike" kwa muda mrefu bila shida? Mkawa na karatiba kabisa?
Malezi ya watoto na home management ni chore ya kike kuliko ya kiume, nature imekua hivyo miaka nenda miaka rudi.Kwani kuna division of labour kwamba chores ni za kike tu!? Is it a must kwamba chores za kike zifanywe na wanawake tu?! Kitu cha msingi ni mtu kucheza part yake pasipo kujisahau! Kuna Wanaume wengi wa kiafrika wanafanya chores za kike bila tatizo.
Duuu nilikua sijui kuhusu hili.....Bilget,Jeff Bezo,Elon Musk,Dangote,Magufuli,Samia,Mkapa,Mandela watu wengi tu wa maana kabisa katika hii Dunia ndoa ziliwashinda.