DR Congo: Mamia waandamana Kishansa kupinga mapendekezo ya Katiba mpya kuongeza muhula wa Rais kuongoza

DR Congo: Mamia waandamana Kishansa kupinga mapendekezo ya Katiba mpya kuongeza muhula wa Rais kuongoza

Moise kupata urais DRC ni ngumu, na ndio maana yeye anaunga mkono Martin Fayulu na Delly Sesanga ,nashangaa Felix tamaa kaitolea wapi ya kujiongezea awamu nyingine ya tatu..kweli Kasai ni kasai tu
Duuh aisee, sasa hapa ndio unaona viongozi wa kiafrika jinsi wasivyo na uzalendo wa kweli na kubadilisha nchi zao zaidi ya familia zao na marafiki pekee.

Hivi ni kweli watu waliamini kwa kuwa Mzee wake alipambana sana tokea enzi ya Mabutu basi huyu Felix atakuwa na moto wa uzalendo ila ndio hivyo tena naye anataka kuendelea kupitia njia zile zile ambazo Mzee wake alikuwa akipambana kuzipinga
 
Baba ake akifufuka leo akaona haya anafanya Felix anakufa tena
 
Felix anaweza kutumia vita na M23 kama kisingizio cha kusogeza mbele au kuhairisha kabisa uchaguzi huku akijipanga namna atavyobadili Katiba.
kivipi wakati kikao cha muswada wa kuongeza muda cha katiba kimepangwa ?au hicho kikao kikikaa kihairishe kwa kufikiria hayo usemayo? Felix anaenda kwenye kuongeza muda bila kuwa shirikisha wakilishi wa M23 ,sijui plan yake lkn najua anategemea bunge kumpitisha
 
Halafu unasikia zoba fala flani linaropoka chanzo cha umasikini na vita Afrika ni mabeberu wakati tatizo liko so obvious ,Ulafi na ubinafsi wa MTU mweusi ,takataka kabisa hii ngozi
 
Back
Top Bottom